Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Sijawahi ona mtu aliweza nyumba,shamba au kiwanja amepiga hatua. Mara nyingi wanarudi nyuma baada ya kufanya hivyo hata kama hilo mali ni ya kwao na sio ,a kurithi.Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
🎵🎶...mtatoana roho yarabiii,,kwa Mali aliyoacha babaaa...🎵Hiyo nyumba ipo mjini na kama utambulisho wa mji wake Kuna nyumba ambayo alimjengea mama yake(bibi) ipo kijijini ambako ndio chimbuko la ukoo mzima
Ni imani potofu tuu na pia wahusika kutoacha wosia vizuri. Babu yangu aliwaacha watoto wake 5 wanaume 3 akiwemo baba yangu mzazi, na wa kike 2. Wakati anakaribia kufariki aliwaita watoto wake wote na kuwapa wosia, ikiwemo kutouza mashamba yake, mifugo yake nk...mpaka hii leo mashamba yapo baba zetu walitasimamia na sisi watoto tumeyaendeleza na yapo mpaka leo ambapo kukodisha ekari moja kwa msimu ni laki 4 kulima mpunga. Wengine kwa kulima au kukodisha hayo mashamba ya familia tumeweza kununua mashamba yetu. Cha msingi ni usimamizi imara na kuzingatia wosia wa wazee wetu waliotangulia mbele ya haki.Unadhani wajukuu zako watakuwa wangapi?
Wataelewana?
Kwa kawaida mali hasa nyumba za urithi ni changamoto sana. huwa zinaleta mpasuko kwa ndg kufikia hadi kuuwana
Ni bora wauze
Sentimental values tu!!? Kwanza marehemu mambo ya walio hai yanamhusu nini?Marehemu anaposema msiuze mara nyingi nia ni kuwe na kitu cha kuwaunganisha. Muwe na kwenu ambapo wajukuu watafika na kukaa pamoja kuwakumbusha kuwa nyinyi ni kitu kimoja.
Kuna ambao nyumbani kila mmoja lazima awe na mti wake ambao anauhudumia na kaupa jina lake, hii inasaidia wakiwa watu wazima wakija kutazama yale mazingira wanaona kuuza pale ni sawa na kuuza historia yao. Kila mwaka wanakutana wote mara moja na kusali na kula pamoja wakiwa na watoto wao ambao nao hurithishwa eneo kama mali ya familia.
Kama ni kuuza Vitukuu au vilembwe ndo waje kuuza pakiwa na thamani ya juu mno.
Yanamuhusu sana tu sababu aliacha urithi na maagizo. Hiyo nyumba marehemu angeiuza kusingekuwa na mjadala. Unless uniambie kila mtu kabla hajafa auze kila kitu ili mambo ya urithi yasiwepo, ukiondoka matamanio yako yaondoke na wewe.Sentimental values tu!!? Kwanza marehemu mambo ya walio hai yanamhusu nini?
Yeye aliondoka na kuachia watu nyumba. Watakachoifanya akiwa amekufa hayamhusu, ilimradi tu hawavunji sheria. Hata mahakama haijali wosia wa marehemu anayetaka kuendesha mambo akiwa ameshakufa.Yanamuhusu sana tu sababu aliacha urithi na maagizo. Hiyo nyumba marehemu angeiuza kusingekuwa na mjadala. Unless uniambie kila mtu kabla hajafa auze kila kitu ili mambo ya urithi yasiwepo, ukiondoka matamanio yako yaondoke na wewe.
Si suala la sheria, ni suala la kusudi. Kabla hujafa na ni nani unamwachia alinde kusudi lako?Yeye aliondoka na kuachia watu nyumba. Watakachoifanya akiwa amekufa hayamhusu, ilimradi tu hawavunji sheria.
Marehemu halindwi na mahakama, analindwa na mrithi ndo maana anaacha urithi kwa anayeamini kuwa atalinda alichokusudia mpaka pale atakaposalitiwa.Hata mahakama haijali wosia wa marehemu anayetaka kuendesha mambo akiwa ameshakufa.
Angekuwa na roho mbaya asingeandika urithi angeuza yeye, wewe unayeachiwa na hutaki wanaofata wanufaike unataka uile ndo mwenye roho mbaya.Unaweza andika wosia kwamba ukifa mali yako mrithi awe nani au wawe nani, ukishafanya hivyo huna haki ya kuwapangia cha kuifanyia ukiwa umeishakufa.
Fuatilia mkasa wa gorofa la kariakoo utajua sheria inasemajeYeye aliondoka na kuachia watu nyumba. Watakachoifanya akiwa amekufa hayamhusu, ilimradi tu hawavunji sheria. Hata mahakama haijali wosia wa marehemu anayetaka kuendesha mambo akiwa ameshakufa.
Unaweza andika wosia kwamba ukifa mali yako mrithi awe nani au wawe nani, ukishafanya hivyo huna haki ya kuwapangia cha kuifanyia ukiwa umeishakufa. Kwanza hiyo ni roho mbaya, umekufa lakini bado unataka kucontrol mambo ya walio hai.
Yote unayofanya lazima yasound kisheria. Kucontrol walio hai ukiwa umekufa haisound kisheria na batili. Na ni roho mbaya. Mtu aache kusonga mbele kiuchumi sababu ya "Kulinda" kusudi lako wewe uliyekufa!!?Si suala la sheria, ni suala la kusudi. Kabla hujafa na ni nani unamwachia alinde kusudi lako?
Marehemu halindwi na mahakama, analindwa na mrithi ndo maana anaacha urithi kwa anayeamini kuwa atalinda alichokusudia mpaka pale atakaposalitiwa.
Angekuwa na roho mbaya asingeandika urithi angeuza yeye, wewe unayeachiwa na hutaki wanaofata wanufaike unataka uile ndo mwenye roho mbaya.
Unasonga mbele kiuchumi kwa mali za marehemu? Za kwako zipo wapi? Mtu alipojenga nyumba yake kwamba akifa wajukuu watakaa na wewe unayeiuza nani ana roho mbaya?Yote unayofanya lazima yasound kisheria. Kucontrol walio hai ukiwa umekufa haisound kisheria na batili. Na ni roho mbaya. Mtu aache kusonga mbele kiuchumi sababu ya "Kulinda" kusudi lako wewe uliyekufa!!?
Hakuna kilichowatokea. Wanagombania mali tu. Wangefaidika zaidi wakiuza na kugawana mali.Fuatilia mkasa wa gorofa la kariakoo utajua sheria inasemaje
Yule mzee kasema floor ya juu ya gorofa iwe wakfu na iwekwe pale madrasa kwenye wosia wake halafu watoto wanaleta ujuaji uliza kilichowatokea
Si hizi alizonipa marehemu!!Unasonga mbele kiuchumi kwa mali za marehemu? Za kwako zipo wapi?
Sasa Marehemu na wewe nani ana roho mbaya? Wewe kwanini hutaki kutunza ukawapa wengine kama ulivyotunziwa ukapewa?Si hizi alizonipa marehemu!!
Hiyo hiyo nyumba itatunzwa miaka mingapi!? Itatosha kuwaachia wajukuu. Tunauza tunajenga zingine za kuwaachia watoto wetu. Kuna watu wana roho mbaya na ulafi wa mali kiasi kwamba wanataka kuzicontrol hata wakiwa wamekufa.Sasa Marehemu na wewe nani ana roho mbaya? Wewe kwanini hutaki kutunza ukawapa wengine kama ulovyopewa?
Njaa tu ndo zinakuongoza hapo hakuna lingine. Marehemu kakabidhi kipande cha nyama kwa fisi. Kama kweli unauza ili utengeneze urithi mwingine sawa ila watu wenye njaa mara chache sana kutengeneza mali, wanatauza wajifanye wanafanya biashara na nyumba inapotelea huko.Hiyo hiyo nyumba itatunzwa miaka mingapi!? Itatosha kuwaachia wajukuu. Tunauza tunajenga zingine za kuwaachia watoto wetu. Kuna watu wana roho mbaya na ulafi wa mali kiasi kwamba wanataka kuzicontrol hata wakiwa wamekufa.
Vyovyote, marehemu yeye hayamhusu. Kama anaroho mbaya asijifiche kwenye wosia uchwara. Auze mali zake zote na azile akiwa hai hapa hapa.Njaa tu ndo zinakuongoza hapo hakuna lingine. Marehemu kakabidhi kipande cha nyama kwa fisi.
Marehemu angekuwa na roho mbaya asingekuachia urithi. Tatizo ni njaa zako tu na huenda marehemu anajua huwa unaongozwa na njaa hivyo akaacha urithi na wosia angalau labda utauheshimu ili angalau ukulinde na njaa zako.Vyovyote, marehemu yeye hayamhusu. Kama anaroho mbaya asijifiche kwenye wosia uchwara. Auze mali zake zote na azile akiwa hai hapa hapa.