Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kama kweli hana roho mbaya basi anipe mali na kuniacha nizile kwa uhuru. Si anipe kwa shingo upande sababu ameshindwa kwenda nazo kaburini.Marehemu angekuwa na roho mbaya asingekuachia urithi. Tatizo ni njaa zako tu na huenda marehemu anajua huwa unaongozwa na njaa hivyo akaacha wosia.
Ukishaongozwa na njaa kufanya maamuzi ni mara chache sana ukafanya kitu cha maana, utauza na pesa zitapotea sababu maamuzi yanatoka tumboni. Ndo ile unasikia marehemu kafa na mali zinamfata.
Msikilize waziri slaa akifafanua juu ya wosia wa marehemu utaelewaHakuna kilichowatokea. Wanagombania mali tu. Wangefaidika zaidi wakiuza na kugawana mali.
Unadhani familia zenye watu wanaojielewa huwa wanakutana na hili tatizo? Mzee anaacha urithi kwa amani anajua watoto ni smart, watakachoamua ni kwa manufaa yao na watakaofata.Kama kweli hana roho mbaya basi anipe mali na kuniacha nizile kwa uhuru. Si anipe kwa shingo upande sababu ameshindwa kwenda nazo kaburini.
Kuwaambia watu wasiuze mali yako ukifa ni kilele cha roho mbaya.
Hajaribu kusaidia. Ameacha kuwasaidia toka mnazaliwa hadi mnakuwa ndiyo awasaidie akiwa kaburini. Ni ucontrol freak na ukatili wa kupitiliza.Unadhani familia zenye watu wanaojielewa huwa wanakutana na hili tatizo? Mzee anaacha urithi kwa amani anajua watoto ni smart, watakachoamua ni kwa manufaa yao na watakaofata.
Ukishaona urithi unakuja na makatazo ya usiuze ujue mzee anawasiwasi na upeo wa mtoto au watoto, anajua kuna shida kwenye ubongo hivyo anajaribu kuwasaidia hata akiwa kaburini maana anajua akiwaacha ni suala la muda mtakuwa omba omba maana wenye akili hategemei mali za mzazi tu.
Waziri ndiyo mahakama?Msikilize waziri slaa akifafanua juu ya wosia wa marehemu utaelewa
Dadeki, MUNGU aniepushe na mitoto isiyo na akili. Yaani nikukuze ukue, urithi nikupe halafu uniite freak? Dadeki.Hajaribu kusaidia. Ameacha kuwasaidia toka mnazaliwa hadi mnakuwa ndiyo awasaidie akiwa kaburini. Ni ucontrol freak na ukatili wa kupitiliza.
Mahakama inatekeleza wosia na si vinginevyo labda asingeacha wosiaWaziri ndiyo mahakama?
Ndo maana wanauza ili watafute vyaoWatafute vyao!
Kuna wosia unasema.Mwenye mali ameshafariki kwanini zisiuzwe ili kila mmoja apate haki yake
Mnataka kutengeneza urithi ndani ya urithi
Sasa hapo mzee kaacha wosia ambao kisheria unatambulika na hakuna wa kupinga endapo umefuata taratibu zote za kisheriaKuna wosia unasema.
"Iwapo mtoto yoyote kati ya watoto wangu wa nne ana uhitaji wa kuishi katika nyumba basi akae au wakae bila kusumbuliwa na yoyote, ila kinyume na hapo nyumba ipewe msikiti kwa ajili ya shughuli za ibada"
Hapa urithi ni endapo tu hamna nia ya kuuza, mkitaka kuuza tu mashekhe hawa hapa.
NdioSasa hapo mzee kaacha wosia ambao kisheria unatambulika na hakuna wa kupinga endapo umefuata taratibu zote za kisheria
Ila kwa Mali ambayo haikuachwa maagizo yeyote ya kisheria inauzwa tu bila wasiwasiNdio
Upo salama kisheria, ila kama mhusika alikupa maagizo kabla ya umauti unakuwa msaliti wa marehemu.Ila kwa Mali ambayo haikuachwa maagizo yeyote ya kisheria inauzwa tu bila wasiwasi
Sasa kama unataka kucontrol walio hai ukiwa kaburini kwa nini usiitwe control freak?Dadeki, MUNGU aniepushe na mitoto isiyo na akili. Yaani nikukuze ukue, urithi nikupe halafu uniite freak? Dadeki.
KINA MAMA TUONEENI HURUMA WANAUME, MNAVYOKAA NAO HAWA HUWA MNAWAAMBIAGA NINI HAWA WATOTO?
Wosia huo lazima uendane na sheria na utende haki. Ndiyo maana unapingwa mahakamani.Mahakama inatekeleza wosia na si vinginevyo labda asingeacha wosia
Hapana mtu akishafariki hana lake kwenye Mali maana yake pia hawezi kuwaongoza walio hai labda uwe na imani za kishetani ila hapo hakuna usalitiUpo salama kisheria, ila kama mhusika alikupa maagizo kabla ya umauti unakuwa msaliti wa marehemu.
Kwenye kutenda haki hapo Nina mashaka kama wosia ukisema Mali za marehemu zipewe aidha taasisi fulani na sio watoto...je hapa wosia utapingwaje?Wosia huo lazima uendane na sheria na utende haki. Ndiyo maana unapingwa mahakamani.
Zipo nyumba kariakoo zinashindikana kuuzika, reason ni koo imezaliana na kuwa na idadi ya watu ya kutisha, unakuta familia ina watu 150, hao waliowaachia watoto nao walirithi.Marehemu anaposema msiuze mara nyingi nia ni kuwe na kitu cha kuwaunganisha. Muwe na kwenu ambapo wajukuu watafika na kukaa pamoja kuwakumbusha kuwa nyinyi ni kitu kimoja.
Kuna ambao nyumbani kila mmoja lazima awe na mti wake ambao anauhudumia na kaupa jina lake, hii inasaidia wakiwa watu wazima wakija kutazama yale mazingira wanaona kuuza pale ni sawa na kuuza historia yao. Kila mwaka wanakutana wote mara moja na kusali na kula pamoja wakiwa na watoto wao ambao nao hurithishwa eneo kama mali ya familia.
Kama ni kuuza Vitukuu au vilembwe ndo waje kuuza pakiwa na thamani ya juu mno.