Kuna ulazima gani wa kumpa mwanamke pesa baada ya tendo

Tombrrra yangu ni 1st Class, tunaridhika wote, tunaburudika wote, tunafurahi wote. Baada ya tendo nakurudisha kwako, tutapita shopping niwanunulie wanao mahitaji, maana kwa umri wangu sina date na tutoto.

Baada ya hapo tutawasiliana kwenye simu
Kwahiyo mkuu wewe unakula single mazas tu na wale za watu au wajane si ndio?? 😂
 
Tombrrra yangu ni 1st Class, tunaridhika wote, tunaburudika wote, tunafurahi wote. Baada ya tendo nakurudisha kwako, tutapita shopping niwanunulie wanao mahitaji, maana kwa umri wangu sina date na tutoto.

Baada ya hapo tutawasiliana kwenye simu
Mzee wa kufakamia single maza’s 😹😹

Sasa hayo mahitaji si ndo gharama zenyewe mkuu 🤣
 
Anapenda kula huyo,duuh...
Ujue Pepsi takeaway ni kubwa ile inavimbisha kweli
 
Sema hawa wenzetu ni nature yao tu inawasumbua,mana mda mwingine unakutana na manager wa ofisi fulani,ukimlomba utasikia nina hiki mara kile nisupport nauli ya ndege kesho naenda mwz nina semina, na hata akiwa anarudi,kesho narudi nisupport na mda huo kalipwa hela ya semina
 
Tupo pamoja kabisa penzi la pesa mbele halinogi na linapunguza thamani tendo na utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…