Kuna ulazima gani wa kumpa mwanamke pesa baada ya tendo

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha starehe kama huwez kugharamikia,,,,mpk apendeze umpende kuanzia nywele mavazi kuna vidume vinahudumia,,,,! Yale ya bure yamejaa fungus na U.T.I,,,, ! Kwa stahili hii mkeo watakugongea sana
Sawa amegharamiwa na kweli ni pisi ya maana tatizo yeye ndio kataka faragha sasa kwa nini atake kunilipisha pesa
 
Si Bora hata huyo kakupa nyama Kuna wale wanaomba bila hata kutoa tendo na wanaomba kwa fujo kama afisa mikopo wa mtandaoni
Wanawake kwa ujumla wamekuwa kama na ulemavu flani hivi.., mtu anapesa za kutosha tu bank, inafika hata 10mil., ila anakomaa kukuomba wewe elfu 50 ya mchezo kama anakudai vile.., hapo hajui umetoka kulipia watoto wanne ada jana yake tu.., huu ni ulemavu wa akili, na ni ubinafsi!
 
Mi huyo demu katumiwa laki 8 ya mchezo nikiwa nae room nikajua hapa nyeupe kumbe na yeye ananipigia hesabu
 
Ni nature
Ni ubinafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…