Kuna ulazima gani wa kumpa mwanamke pesa baada ya tendo

Mi ndyo nawapenda hawa wazungu wa bongo, kuhonga ni raha sana, mi niko obsessed na kuhonga, ina raha yake na ni heshima. ILA kuibiwa kwa kufanywa ni fala/mshamba hiyo siwezekani
Wakati unahonga usisahau kujiwekeza, kuwekeza kwa future yako. Kuhonga kutamu kama unavyosema ila angalia sana, majuto yake ni miaka mingi ijayo.
 
Hiyo sii ina oil yake yenyewe kila mwisho wa mwezi inajimwaga yenyewe
Ukiacha oil kuna vingi vya kufanyia maintenance, kuna kubadili tairi hata kulipeleka car wash we vipi bwana..!! 😹😹😹

Umelikuta gari safi umelichafua halafu kuliosha hutaki..!! 🀣
 
Hawa wamekuwa ni wapuuzi sana, kama vipi bora mtu ustaafu mapena tu kufanya mambo hayo hata kama una miaka 30. Qumambuzi, kila demu anataka hela tu, hizo hela zitatoka wapi ikiwa sisi wenyewe hazitutoshi kwa mahitaji yetu? Zamani penzi lilitolewa bure mradi una nguvu za kutosha kupiga shoo iliyotukuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…