Yupo baba mmoja alimpeleka binti yake chuo kikuu kile kipindi cha kusajiliwa. Yaani ilikuwa ni kituko mzee anazunguka na binti yake kila mahali mpaka wale Auxiliary Police wakamuambia mzee hapa ni chuo kikuu muache binti yako afanye hizi taratibu mwenyewe kama wenzake. Mzee alijishtukia sana aisee! Ilikuwa ni mwaka 2015.Hakuna Baba anaweza kufanya huo ujinga, kina mama ndio wanaoharibu hawa Watoto wa sasa hivi, Toto linadekezwa mpaka umri limebarehe unalidekeza tu linakuwa jinga kabisa.
Mkuu viposho vya miezi nitatu tu ndio vikuume mpaka leo !!..ndio maana hasira zote ukaishia kuchakata kimasihara.HAKUNA UMUHIMUUU LABDA KAMA TOTO ZEMBE ZEMBEEE LIPELEKEE...!! mimi kuacha kupigisha pindi nipate helaa na kwenda Jkt iliniumaa sanaa yanii mnooo namind mpaka leooo[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani inaniuma bado kuacha Hela za maana nikaenda kuteswa na kulipwa elfu 50 yenye makato nikawa naambulia elfu 35.. Huu ujinga mwanangu hafanyi[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]Mkuu viposho vya miezi nitatu tu ndio vikuume mpaka leo !!..ndio maana hasira zote ukaishia kuchakata kimasihara.
Nafasi nyeti Zipo huko BOT na Sio hizi upolisi na jeshiHao wenye nafasi za kutengenezea watoto future ndio wanakimbilia wapeleka huko......yani huko mbele mtoto hajapita JKT hawezi pata nafasi nyeti.
[emoji23][emoji23][emoji23] karibu wine, ukija uoge vizuri maana hatutaki jasho hapaWewe chokoraa heshima uitoe wapi [emoji57][emoji57]
Kama kijana aliyemaliza A level anaweza kukwepa kadhia ya kuripoti JKT bila kukumbana na serious consequences kuhusu future yake sidhani kuna mtu angeripoti kambini. Ndiyo hoja yangu ya msingi.
Sio kweli. Kwenye sekta binafsi wapo wanaotoa ajira kwa vijana lakini mojawapo ya sharti ni aliyepitia JKT e.g. kampuni za migodi lakini pia kwenye Tasnia ya Usanii huwa wanahitaji aliyepitia JKT kuigiza katika nafasi ya askari au mlinzi.Nafasi nyeti Zipo huko BOT na Sio hizi upolisi na jeshi
Unajua salary scale ya Mtumishi wa B.OT?Sio kweli. Kwenye sekta binafsi wapo wanaotoa ajira kwa vijana lakini mojawapo ya sharti ni aliyepitia JKT e.g. kampuni za migodi lakini pia kwenye Tasnia ya Usanii huwa wanahitaji aliyepitia JKT kuigiza katika nafasi ya askari au mlinzi.
Kwenye jeshi (majeshi yote) kijana F6 science subjects na aliyepitia JKT huwa na nafasi kubwa zaidi ya kupata scholarships. Siku hizi jeshi ni la kisomi zaidi (lipo ki-digital) na sio kwata na kubeba mtutu tu.
Huko BOT kuna unyeti gani ilhali walioajiriwa huko tuko nao huku?
Bila shaka ushapata majibu, mdhara makubwa ni mateso tu,Habari zenu Wana JF,
Naomba msaada kufahamu madhara ya kuacha kuripoti wito wa kujiunga na JKT kwa wale waliomaliza A level.
Je, cheti cha kumaliza mafunzo ya JKT huwa kinahitajika kwa ambaye anataka kufanya maombi vyuo vikuu vya Serikali kama UDSM, Tanzania Institute of Accountancy na IFM, kwa mfano?
Lakini la ziada: kama mhusika hatafanya maombi ya mkopo kupitia HESLB ataathirika namna gani?
Asanteni kwa msaada.
Jua kwamba nafasi yoyote nyeti Tanzania hii inahitaji vetting. Sio BoT, Sio TRA, Sio EWURA.Nafasi nyeti Zipo huko BOT na Sio hizi upolisi na jeshi
Uongo huu , kuwa mkurungezi unahitaji kuwa umepita Jkt au Elimu yako na network mfano mkurugenzi wa TPC kapita jkt au upo unaota MkuuJua kwamba nafasi yoyote nyeti Tanzania hii inahitaji vetting. Sio BoT, Sio TRA, Sio EWURA.
Yani ukiona serikalini mtu yoyote anaitwa Manager, Mkurugenzi, etc....jua ni mtu wa system. Sasa ndio huwezi tena ingizwa system kizazi hiki kama hujapita JKT.
Nanukuu: "........hamna serious consequences zozote" Vp Ulikwepa kwenda JKT kwa sababu ya uoga au ?me
me nilipangiwa na sikwenda, hamna serious consequences zozote
Kwanza kabisa huwezi kufanywa mkurugenzi Postal Bank bila kuwa kitengo. Basi kama sio kitengo lazima ufanywe hivyo.Uongo huu , kuwa mkurungezi unahitaji kuwa umepita Jkt au Elimu yako na network mfano mkurugenzi wa TPC kapita jkt au upo unaota Mkuu
Mkuu, kwa kweli sijui. Lakini unyeti wa nafasi ya Mtumishi au mtu yeyote haitegemei salary scale yake au anamiliki fedha kiasi gani bali anayo nafasi gani kihuduma katika Jamii. Usishangae ukijagundua kwamba kumbe hata wanasiasa Mbunge na Diwani wa Kata wanapata fedha nyingi.Unajua salary scale ya Mtumishi wa B.OT?
Kutokana na kundi kubwa la wanafunzi wengi ambao hawajui maisha ya kawaida ya uraiani kufaulu vizuri na kujiunga Elimu ya juuHabari zenu Wana JF,
Naomba msaada kufahamu madhara ya kuacha kuripoti wito wa kujiunga na JKT kwa wale waliomaliza A level.
Je, cheti cha kumaliza mafunzo ya JKT huwa kinahitajika kwa ambaye anataka kufanya maombi vyuo vikuu vya Serikali kama UDSM, Tanzania Institute of Accountancy na IFM, kwa mfano?
Lakini la ziada: kama mhusika hatafanya maombi ya mkopo kupitia HESLB ataathirika namna gani?
Asanteni kwa msaada.
Achana na haya matutusa yajazane ujinga tu! Yaani jitu linakurupuka kabisa kusema eti hakuna madhara? Juzi serikali imetangaza nafasi za Uhamiaji, Polisi, JW, TAKUKURU, TANAPA, Magereza, Zimamoto zote hizo Kigezo kikubwa kilikuwa awe amepita JKT! Ipo siku vijana watalia kilio cha mbwa koko! Niko hapa napambana na wife eti anamkingia kifua dogo asiende JKT! Nami nimetoa msimamo JKT lazima aende! Ukweli kuna mambo mengi atanufaika nayo mbali na hizo nafasi zenye Kigezo cha JKT! Hata ule ukakamavu tu ni faida tosha kabisa kwa kijana mdogo!Kijana, nenda JKT.
Siku zitakuja mbeleni, very soon, kuna fursa zitatokea na kwa makusudi kabisa, watasema aliyepita JKT ana "added advantage"
Hakuna madhara ya kupitia JKT, bali kuna faida.
Wala siyo miezi 6 mkuu, ni miezi mitatu tu!Kutokana na kundi kubwa la wanafunzi wengi ambao hawajui maisha ya kawaida ya uraiani kufaulu vizuri na kujiunga Elimu ya juu;
Naunga mkono 100% wote waliomaliza Elimu ya kidato cha Sita wenye Afya njema wapite jeshini ili wakajue hali halisi ya maisha yanayoendelea huko nje.
Kama una Afya nzuri kuna sababu gani inakufanya usiende jeshini sijui kwa miezi 6 tu?
Unaweza kukosa mengi huko mbeleni.....
Nanukuu:Bila shaka ushapata majibu, mdhara makubwa ni mateso tu,
pia kuna baadhi ya watu hupata changamoto za kiafya kutokana na ukali wa mazoezi
wanawake hukazwa sana na wasimamizi wao
ila haina madhara katika kuendelea na elimu ya juu au ajira isipokuwa ajira za sekta ya ulinzi
NB: Wanafunzi wanaomaliza ni wengi mno na kambi zipo chache mno.
hata nusu ya wanafunzi huwa haifiki (wanaochaguliwa)
Hivyo hawawezi kuweka kigezo cha kwenda JKT ni lazima katika kwenda vyuoni au ajira kwa sababu wenyewe hawawezi kuwapeleka wote
[emoji23][emoji23][emoji23] karibu wine, ukija uoge vizuri maana hatutaki jasho hapa