Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 1,773
- 3,201
Yupo baba mmoja alimpeleka binti yake chuo kikuu kile kipindi cha kusajiliwa. Yaani ilikuwa ni kituko mzee anazunguka na binti yake kila mahali mpaka wale Auxiliary Police wakamuambia mzee hapa ni chuo kikuu muache binti yako afanye hizi taratibu mwenyewe kama wenzake. Mzee alijishtukia sana aisee! Ilikuwa ni mwaka 2015.Hakuna Baba anaweza kufanya huo ujinga, kina mama ndio wanaoharibu hawa Watoto wa sasa hivi, Toto linadekezwa mpaka umri limebarehe unalidekeza tu linakuwa jinga kabisa.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app