Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

Achana na haya matutusa yajazane ujinga tu! Yaani jitu linakurupuka kanisa kusema eti hakuna madhara? Juzi serikali imetangaza nafasi za Uhamiaji, Polisi, JW, TAKUKURU, TANAPA, Magereza, Zimamoto zote hizo Kigezo kikubwa kilikuwa awe amepita JKT! Ipo siku vijana watalia kilio cha mbwa koko! Niko hapa napambana na wife eti anamkingia kifua dogo asiende JKT! Nami nimetoa msimamo JKT lazima aende! Ukweli kuba mambo mengi atanufaika nayo mbali na hizo nafasi zenye Kigezo cha JKT! Hata ule ukakamavu tu ni faida tosha kabisa kwa kijana mdogo!
Hizo nafasi za magereza hakuna Cha maana Maisha ya Magumu hawana tofauti na jobless binafsi Kama unapesa huwezi kubali Mwanao aende huko akawe Askari magereza au police.
 
Hizo nafasi za magereza hakuna Cha maana Maisha ya Magumu hawana tofauti na jobless binafsi Kama unapesa huwezi kubali Mwanao aende huko akawe Askari magereza au police.
Mbona umenyofoa moja tu? Hizo zingine unasemaje?
 
hakuna mtoto wa Mwanasiasa au mtu yoyote wa ngazi ya juu serikalini mtoto wake haendi JKT.

Maana ishawekwa kizazi cha sasa huwezi ingia chombo chochote cha usalama bila kupitia JKT.

In future hata kazi serikalini zitatolewa kwa waliopita JKT tu.
Kwa hao wa connection waendee, sisi wengine tulienda hata hakuna cha maana lol
 
Watoto wa kishuwa wanapapenda sana jkt enzi zetu kuna dogo alikuja na tabia za kishosho aliliwa tako na dogo mwenzie mpaka akatapika mchana kweupe porini
 
Watoto wa kishuwa wanapapenda sana jkt enzi zetu kuna dogo alikuja na tabia za kishosho aliliwa tako na dogo mwenzie mpaka akatapika mchana kweupe porini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilaa wee jamanii uwiiiih.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilaa wee jamanii uwiiiih.
Muuni alichezea tako mpaka dogo akawa anaita wenzie waliwe mande, jamaa kila muda watoto wa kishuwa wamejaa bed kwake anabadilisha tu ladha
 
JKT ni kupoteza muda
Hakuna faida yoyote

Sikwenda sababu enzi nasoma haikuwepo.

Ila hata wangeiweka nisingeenda sababu sikutarajia kuajiriwa
 
kweli kabisa mkuu. Watoto wa kike wakiripoti huko wanageuzwa wake za maafande uchwara wanaoendesha mafunzo. Na pia suala la ushoga limekita miziz huko. Mwaka jana vijana walienda JKT, 30 kati yao wakarudi wakiwa mashoga. Huko hakufai hata kidogo. Ni zaidi ya jehanamu.
Watoto wa kike kugeuzwa wake au vijana kubadilika kuwa mashoga ni hiari ya mtu binafsi. Mambo hayo yasielekezwe kwa Jeshi JKT kana kwamba huko uraiani hayapo. Je, miji au maeneo yaliyokithiri kwa mambo hayo e.g. Dar,Arusha n.k. ni kambi za jeshi hizo?
 
Muuni alichezea tako mpaka dogo akawa anaita wenzie waliwe mande, jamaa kila muda watoto wa kishuwa wamejaa bed kwake anabadilisha tu ladha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mwehuuuu ujue hapa.
 
Ukiweza kuishi maisha ya jeshi na ukatoboa...![emoji125]basi mtaani hushindwi kitu
fikra mgando.....uende jkt kisha uajiriwe kwa mfano uwe mlinzi kwenye vituo vya mabasi ya mwendo kasi ndiyo kutoboa maisha?
 
Kwenye ushoga nakubalii ila nlikua naogopaa kusemaa tyuuh. Intake yetu kulikua na vitendo hivi sanaaaa.

Hao wanawakee ndo walikua wanaliwa hovyoo na ma afande.
Asante kwa kuniunga mkono mkuu. Unajua haya mambo tusipoyakemea kwa sauti kubwa yatendelea kufanyika chini ya zulia huku watoto wetu wakizidi kuharibiwa na maafande bila sababu ya msingi. Serikali inapaswa ilitazame tatizo hili kwa jicho la kipekee.
 
Mambo hayo yasielekezwe kwa Jeshi JKT kana kwamba huko uraiani hayapo
Hoja yako ni ipi hapa mkuu? Unataka wataoto wetu waende kuharibiwa huko JKT kwa manufaa ya nani? Mpeleke binti yako au dada yako huko achakazwe na vit0mb0 vya maafande au kijana wako arudi akiwa shoga ndipo utaelewa ubaya wa JKT.
 
Huku kwetu Zanzibar hayo mambo hatuna, wakienda jeshi si twaenda na babu kuuza urojo forodhani yanini kukakamaa[emoji16]
Si mnaona jinsi walivyo rojorojo? 🤣🤣
 
Back
Top Bottom