Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo nafasi za magereza hakuna Cha maana Maisha ya Magumu hawana tofauti na jobless binafsi Kama unapesa huwezi kubali Mwanao aende huko akawe Askari magereza au police.Achana na haya matutusa yajazane ujinga tu! Yaani jitu linakurupuka kanisa kusema eti hakuna madhara? Juzi serikali imetangaza nafasi za Uhamiaji, Polisi, JW, TAKUKURU, TANAPA, Magereza, Zimamoto zote hizo Kigezo kikubwa kilikuwa awe amepita JKT! Ipo siku vijana watalia kilio cha mbwa koko! Niko hapa napambana na wife eti anamkingia kifua dogo asiende JKT! Nami nimetoa msimamo JKT lazima aende! Ukweli kuba mambo mengi atanufaika nayo mbali na hizo nafasi zenye Kigezo cha JKT! Hata ule ukakamavu tu ni faida tosha kabisa kwa kijana mdogo!
Mbona umenyofoa moja tu? Hizo zingine unasemaje?Hizo nafasi za magereza hakuna Cha maana Maisha ya Magumu hawana tofauti na jobless binafsi Kama unapesa huwezi kubali Mwanao aende huko akawe Askari magereza au police.
Wakijiandaa na mambo mengine ya muhim na kutafakari Cha kuwaingizia kipato Cha uhakikaOK mkuu; sasa wanapumzika wakifanya nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimebakiii kuchekaaa hadi baas uwiiiiih.Halafu hana hata aibu macho makavuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mhh! Haya tena mmeanza.
Kwa hao wa connection waendee, sisi wengine tulienda hata hakuna cha maana lolhakuna mtoto wa Mwanasiasa au mtu yoyote wa ngazi ya juu serikalini mtoto wake haendi JKT.
Maana ishawekwa kizazi cha sasa huwezi ingia chombo chochote cha usalama bila kupitia JKT.
In future hata kazi serikalini zitatolewa kwa waliopita JKT tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakaribishe hawara zako, mimi niko busy na baby tunanyeg**eshana [emoji3059][emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilaa wee jamanii uwiiiih.Watoto wa kishuwa wanapapenda sana jkt enzi zetu kuna dogo alikuja na tabia za kishosho aliliwa tako na dogo mwenzie mpaka akatapika mchana kweupe porini
Muuni alichezea tako mpaka dogo akawa anaita wenzie waliwe mande, jamaa kila muda watoto wa kishuwa wamejaa bed kwake anabadilisha tu ladha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilaa wee jamanii uwiiiih.
Ukakamavu una faida kwa mtoto wa kiume
kweli kabisa mkuu. Watoto wa kike wakiripoti huko wanageuzwa wake za maafande uchwara wanaoendesha mafunzo. Na pia suala la ushoga limekita miziz huko. Mwaka jana vijana walienda JKT, 30 kati yao wakarudi wakiwa mashoga. Huko hakufai hata kidogo. Ni zaidi ya jehanamu.Kusumbua watoto wa kike
Watoto wa kike kugeuzwa wake au vijana kubadilika kuwa mashoga ni hiari ya mtu binafsi. Mambo hayo yasielekezwe kwa Jeshi JKT kana kwamba huko uraiani hayapo. Je, miji au maeneo yaliyokithiri kwa mambo hayo e.g. Dar,Arusha n.k. ni kambi za jeshi hizo?kweli kabisa mkuu. Watoto wa kike wakiripoti huko wanageuzwa wake za maafande uchwara wanaoendesha mafunzo. Na pia suala la ushoga limekita miziz huko. Mwaka jana vijana walienda JKT, 30 kati yao wakarudi wakiwa mashoga. Huko hakufai hata kidogo. Ni zaidi ya jehanamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mwehuuuu ujue hapa.Muuni alichezea tako mpaka dogo akawa anaita wenzie waliwe mande, jamaa kila muda watoto wa kishuwa wamejaa bed kwake anabadilisha tu ladha
fikra mgando.....uende jkt kisha uajiriwe kwa mfano uwe mlinzi kwenye vituo vya mabasi ya mwendo kasi ndiyo kutoboa maisha?Ukiweza kuishi maisha ya jeshi na ukatoboa...![emoji125]basi mtaani hushindwi kitu
Asante kwa kuniunga mkono mkuu. Unajua haya mambo tusipoyakemea kwa sauti kubwa yatendelea kufanyika chini ya zulia huku watoto wetu wakizidi kuharibiwa na maafande bila sababu ya msingi. Serikali inapaswa ilitazame tatizo hili kwa jicho la kipekee.Kwenye ushoga nakubalii ila nlikua naogopaa kusemaa tyuuh. Intake yetu kulikua na vitendo hivi sanaaaa.
Hao wanawakee ndo walikua wanaliwa hovyoo na ma afande.
Hoja yako ni ipi hapa mkuu? Unataka wataoto wetu waende kuharibiwa huko JKT kwa manufaa ya nani? Mpeleke binti yako au dada yako huko achakazwe na vit0mb0 vya maafande au kijana wako arudi akiwa shoga ndipo utaelewa ubaya wa JKT.Mambo hayo yasielekezwe kwa Jeshi JKT kana kwamba huko uraiani hayapo
Si mnaona jinsi walivyo rojorojo? 🤣🤣Huku kwetu Zanzibar hayo mambo hatuna, wakienda jeshi si twaenda na babu kuuza urojo forodhani yanini kukakamaa[emoji16]