Kuna uwezekano wa kupata mimba siku ya 11 ya mzunguko wa hedhi?

Nakumbuka imenitokea siku ya 11 mimba ilipatikana na si kwamba nilihesabu vibaya hapana nilikuwa makini sana,,mimba ilipatikana now mtoto anakuwa tu vizur na maisha yanendelea kama kwaida,,so hizi siku bwana wakati mwingine majanga kabisa


Hongera mkuu.

Mtoto jinsia gani?
 
Unampa njia ya kufanya mauaji.
 
Huyo unayedai ni mwenzio je ni mumeo? Maana si vizuri kuwashirikisha waungwana mambo ya uasherati!
 

kwa nini unapenda kuchepuka bila kinga?
 
Na huyo aliyemwaga nje ana kesi ya kujibu, hiyo ni kesi ya mauaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…