Hamna kitu kama hiyo boss labda kama umehamisha akili kwa utamu lakini ukiamua kutoa unatoa unapukuta na unarudi mchezoni murua kabisaaa bila tabu na hakuna joti atakae bakiamoHuu mchezo wa kutoa nje ni kujidanganya tu! Unapoanza tu kujisikia vitu hutoka kama risasi! Vile vya kwanza huwa vimeshatoka tayari! Unajichafua bure tu!
Ndio waweza kwa sababu ni kuanzia Siku ya 10-17.Habari za wakati huu wakuu, wakuu naombeni jibu hivi ukifanya mapenzi siku ya 11 kuna uwezekano wa kupata mimba??
Maana ni wiki mbili sasa toka nimefanya mapenzi lakini nina wasiwasi maana tumbo linauma chini ya kitovu upande wa kulia.
Ila mwenzangu nilimtahadhalisha nikamwambia atoe nje na alitoa nje kweli but Nina wasiwasi maybe wakati anatoa nje kuna tujamaa tushatangulia u never know, na bahati mbaya nipo kijijini yaani jinsi ya kupata kipimo cha mimba mtihani , Naombeni majibu wakuu ..
Mkuu ukiishia ya 8 ni hadi lini? Maana mie nimeishia 8-18 **** mdau kasema hadi 24 sina hamu?Nilijiamini siku ya 9 na akanasa vizuri tu, so to be safe ishia siku ya nane kwa wenye mzunguko wa siku 27-28
Ni 2g mkuu hakuna 3gItakuwa una vinasaba vya kike wewe. Kama unaweza ingia kwenye simu ya smart phone na kuandika jf hasa kwa maeneo ambayo yana 3g. Sasa kwa uzoefu 3g iko maeneo ambayo kidogo yameendelea sasa sijui unabishana nini.Hata zahanati ikosekane
Yaani cpati picha hiyo furaha kuna siku nyingine ilikuwa hivihivi nilivopima nikakuta negative nilifungulia mziki huo mpaka mwenyenyumba akanigongeaHa ha ha. Mungu atusaidia wanawake. Yaaani zikija unaweza hata chinja mbuzi kwa furaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahhaha usiombee uwe umecheza rafu na kadent alafu kanakwambja stori kama hizo dah.....
After a long wait, siku ya siku anaona siku zake unaweza ukawa chizi gafla.
Kuna rafiki yangu alisha wahi kutupa offer ya bia kwa sababu ya hii kitu.
Lkn nilienda kuosha na maji fasta au tunaweza kuwa tulishakimbiaHapo tayari una mimba!! Yai hupevuka siku ya 14, na mbegu za uzazi zinauwezo wa kuishi katika kizazi hadi siku 3,Suala kuwa alimwagia nje ni gumu maana tule tujamaa tuna spidi sana wakati wa kutoka, na nilishajaribu huwa zinaponyoka.
Ndio. KAA chonchoHabari za wakati huu wakuu, wakuu naombeni jibu hivi ukifanya mapenzi siku ya 11 kuna uwezekano wa kupata mimba??
Maana ni wiki mbili sasa toka nimefanya mapenzi lakini nina wasiwasi maana tumbo linauma chini ya kitovu upande wa kulia.
Ila mwenzangu nilimtahadhalisha nikamwambia atoe nje na alitoa nje kweli but Nina wasiwasi maybe wakati anatoa nje kuna tujamaa tushatangulia u never know, na bahati mbaya nipo kijijini yaani jinsi ya kupata kipimo cha mimba mtihani , Naombeni majibu wakuu ..