Kuna viashiria vikubwa vya uvunjifu wa amani siku zijazo…

Yasemwe hapo hayo yanayosemwa mbona unakwepa kwepa ,kwani Mimi naishi mbinguni kwamba sifanyi hayo unayofanya wewe?
 
Inategemea kiwango CHAKO cha Akili kwa Akili ndogo ulizonazo huwezi kuona CCM oyee
 
Haya yote umezaliwa unaishi na utakufa ukiyaacha hapa hapa Tanzania, hakuna kipya.
 
Yasemwe hapo hayo yanayosemwa mbona unakwepa kwepa ,kwani Mimi naishi mbinguni kwamba sifanyi hayo unayofanya wewe?
Yashasemwa ktk post ya kwanza.

Kurudia rudia maneno ni kujaza server. Tunaendeleza mjadala kwa kushauri ingawa wasiona ufahamu kama wewe wanagruza mjadala kama shambulizi baya kwa watawala
 
Yashasemwa ktk post ya kwanza.

Kurudia rudia maneno ni kujaza server. Tunaendeleza mjadala kwa kushauri ingawa wasiona ufahamu kama wewe wanagruza mjadala kama shambulizi baya kwa watawala
Huna hoja wewe hater,endelea kuota ndoto za kujifariji
 
Kwa hata Kongo wanauana ila bar hazijafungwa huo zipo wazi na walevi hupigwa na kufia Bar!
 
Huna hoja wewe hater,endelea kuota ndoto za kujifariji
Shukrani mkuu
Wewe unajua zaidi
Wewe una akili zaidi
Wewe utaishi milele

Sisi wacha tuendelee na hizo tamathali zenu kuwa ni haters, wahaini na mengineyo.

Muda ni hakimu mwema na huwa hana rufaa
 
Shukrani mkuu
Wewe unajua zaidi
Wewe una akili zaidi
Wewe utaishi milele

Sisi wacha tuendelee na hizo tamathali zenu kuwa ni haters, wahaini na mengineyo.

Muda ni hakimu mwema na huwa hana rufaa
Wewe vyote unavyo
 
Ushahidi kwa sababu muda ulishapita,basi endelea na hisia zako kwamba kulikuwa uchaguzi.
Tatizo la wanaharakati ni kuongea na kulalamika muda wote. Hao wanaolalamikiwa siku zote wapo na wananchi wakiziishi shida zao.

Kulialia ni kuishia humu mitandaoni huko nje CCM wapo na wananchi na mwisho wa siku kulalamika ni kuumiza tu nafsi zetu.
 
Ningekuwa moderator ningeku BAN life kabisa hapa JF. Watu ka ninyi sijui kwa nini mlizaliwa. Muacheni Mama afanye kazi kwa ajili ya maendeleo ya watanzania. Bila CCM hakuna amani, ndiyo maana tunaendelea kushinda chaguzi zote.
Sizani kama kuna mtafiti amewahi kuchunguza uwezo wa akili ya mdudu chawa
Sababu hana faida kwenye mzunguko wa maisha ya binadamu
 
Tatizo la wanaharakati ni kuongea na kulalamika muda wote. Hao wanaolalamikiwa siku zote wapo na wananchi wakiziishi shida zao.

Kulialia ni kuishia humu mitandaoni huko nje CCM wapo na wananchi na mwisho wa siku kulalamika ni kuumiza tu nafsi zetu.
Kwa nini tusilalamike kama tunaona mambo hayaendi sawa????Mbona wewe kila siku unalalamika mtandaoni kuwa Mama anaonewa??Wewe kama umeridhika na mambo ya Samiah kosa lako ni lipi??Kama sijaridhika na mambo anayoyafanya Samiah kosa langu ni lipi?Acha watu waongee pale palipo na tatizo kama wewe unaona sawa ni wewe kwa mtazamo wako na maslahi yako.Ubinadamu wa mtu haununuliwi na mtu yeyote yule yaani thamani ya mtu ni mtu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…