Kuna video inasambaa mitandaoni, kiingereza kwa Watanzania wengi ni shida sana!!

Mzee dunia ya sasa Kiingereza muhimu wewe baki na Kiswahili chako
 
Aibu kwa kutofahamu kiingereza?? Yy mbona hajui kiswahili?? Nadhani ww ndo unatakiwa kuona aibu kwa mawazo kama yako,kutokujua kiingereza wala siyo jinai ni lugha kama kisukuma na kimakonde
 
Msemaji wa serikali leo kahojiwa bbc juu ya kimbunga hidaya, ngeli ya kitanzania kabisa yani
 
Bila video ni umbea tu
 
Aibu gani sasa. Yeye mnaijeria ndio ajifunze kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…