Kuna vijana wengi wa kiume in their late 20's wenye mwonekano smart, kazi nzuri, kipato, gari, lakini hawajaoa

Wameshtuka kwamba ndoa ni utapeli.

Mwanamke akikosa namna ya kutafuta pesa suluhisho pekee analoliona ni kuolewa, akiingia ndoani na kufanikiwa kuchota kiasi Cha pesa anachokitaka ataanza vitimbi muachane abaki kuwa single mama.
 
hadi kanisani wameisha?

duh, mambo yamebadilika
Wapo wengi Sana.. Shida ni kwamba mnapishana tu nyakati,, unakutana na mtu Yuko serious anataka ndoa inabidi uachane nae tu cause ukizingatia Kuna baadhi ya malengo hujatimiza na anajua.. Asa hapa ukijichanganya unaweza kujikuta umetumika na unaachwa anaenda kuchukuliwa ambaye Yuko tayari kwa ndoa kwa wakati huo.. Atakudanganya Yuko tayari kusubiri while not πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mada ngumu sana hii

ngumu sana
 
Kuoa ni project ambayo sina bahati nayo... Kila siku huwa najiuliza kwa nini sijaoa but sijawahi kupata jibu... Hii kitu sijui imekaaje,.....

Mfano mzuri ni kama unakuta wewe may be ni mkristo ungependa uokoke umwabudu mungu full time lakini unakuta huokoki na sababu hujui zinazokukwamisha.. Huo ni mfano wangu kwenye kuoa unakuta napenda nione but hiyo project haitimii na cjui sababu nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…