Kuna viongozi wengi ni Usalama wa Taifa!?

Everyone ni tithi kwa Nchi yake !
Lakini impact yake inakuwaje ?!
Nchi na Rasilmali zake ?!
Je waliojilimbikizia mimali kupitia nyadhifa zao ?!
Je kuingia mikataba Umiza kwa mfano ya madini, Gesi na vitu kama hivyo sio Sabotage kwa Nchi. ??!

Au sio kazi zao ??! 😳🙄 !
Najaribu kuwaza tu 👍🙏 !
 
Ndugu tumia elimu yako vizuri na siyo kuwahadaa watu ama kama hujui ama huna uhakika usiwe unaandika. FIU sio TISS ila kunaweza kuwa na baadhi yao waliopenyezwa kwa ajili ya mission walizotumwa, wapo watumishi wengi tu wa FIU ambao wameajiriwa na Sekretarieti ya Ajira. Hii ni sawa na useme watumishi wote waliopo Ikulu ni TISS wakati hata wa kawaida wanaoajiriwa au kuhamishiwa kutoka Taasisi nyingine za Kiserikali wapo pia.

Ulipozidisha chai ni hapo uliposema eti Branch Managers wa Mabenki wote ni TISS, My wife ni one of BM kwenye hizi two giants Banks na siyo mtu wa TISS na wala hawajui.

Watu wengi sana wanaishi kwa dhana za kuandika wanayoyawaza kwamba ni kweli na kuyaandika kumbe siyo kweli na yanatokana na hisia potofu tu.

Watu wanadangwanya sana hapa JF na wanakubali tu. Kukaa na watu hao na kufahamiana nao haikupi audacity ya kuifahamu kiundani hiyo Taasisi na kuja kuongopa huku.
 
Nchi hii Elimu kwa watu iko chini sana !
Hata mtu akiwa ni mzungumzaji sana kwenye vijiwe vya kahawa au kwenye pombe na akiwa anazungumza politiki kwa kujiamini na kutoa points watu watamlebo kuwa ni wa kitengo !

Na hata yule ambaye huja vijiweni kusikiliza stori tu na hachangii chochote naye pia atakuwa anahisiwa ni wa kitengo 😂 !

That means watu wamejiaminisha kuwa wale jamaa wapo kwa kuulinda Utawala tu uliopo madarakani !

Lakini mimi naamini wale wapo na wanapaswa kuwa na majukumu makubwa zaidi kuliko hayo tumekuwa tukiyafikiria mara nyingi !!
 
Kuna mtu watu fulani waleviwalevi waligundua ni shida fulani wakawa wanataka niwanunulie pombe wanywe kwa kuniambia wao ni maofisa wa TISS wana uwezo wa kunisaidia shida yangu iliyokwama kwenye taasisi fulani nyeti ya serikali, niliwapuuza na kuacha wajinunuli pombe wenyewe. Maofisa gani wa TISS wanaojitangaza wazi vile huku wakigongea bia na kutaka wapewe hela? ki ukweli TISS hawafahamiki ni kina nani, hata wale majamaa wavaa suti nyeusi na viwaya masikioni kwenye mikutano ya Rais si TISS tunaowafikiria
 
Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
Kauthibitisho mkuu itapendeza
 
Umesahau viongozi wa dini wengi mapadre, baadhi ya wachungaji, maaskofu, masheikh, na waganga wa kienyeji pia siku hizi baadhi yao ni mapandikizi wa system!
Pia kuna idara kama TRA na Bandarini humo wamejaa wengi sana
 
Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
Shida ni kwamba hao watu Huwa ni viburi na ngumu sana kuwatimua wakivurunda hasa Kwa Nchi zetu hizi za kisanii.
 
A
Ukishakuwa publick figure tayari uko exposed. Including your background.
TISS should limit watu wake kwenye nafasi kama hizo maana watakuwa exposed kutokana na nature ya siasa na hizo nafasi
Acha waanikane tuu, maana saiv wako bize kuwaggawa watz kisa itikad za kisiasa.
Mbaya zaid wanauwezo mkubwa wa kudeal na wasiowafuas wa ccm ila hawadeal na mafisad wala kuwashaur ccm dhidi ya mienendo yao ya kishenzi yenye kudhoofisha umoja, usalama na ustawi wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…