Kuna viongozi wengi ni Usalama wa Taifa!?

Kwa heshima ya muasisi wa taia hili hahawahi kutamka kauli kama hizo, hajawahi kukaa na watu wenye mizaha.
Unapolitaja jina nyerere usiliweke kwenye kundi au kulihusisha na wapumbavu
Kachero wa mchongo unapajua Chuo kikuu Cha UVCCM - Ihemi au unataka kuleta ujuwaji wa Kwenye Mbege?

Ungeijua Ihemi usingetoka povu Simbilisi wahed 🐼
 
Mkuu Kamu, Kamundu , kwa lengo la kusaidiana tuu, kukusaidia wewe na wengine wasiojua, kumtaja kwa majina mtu yoyote wa TISS na kumu expose kuwa ni TISS, huyo mtu akiwa ni TISS kweli, then kumtaja kwa jina ni kosa la jinai!.
P.
Ila kwa recruitment ya siku hizi hawa jamaa wameidhalilisha sana hiyo Idara,nakumbuka enzi za Mwalimu wazee wetu walikuwa huko lakini ni mwiko kabisa kutaja hilo jina lakini siku hizi kuna utoto mwingi sana wengi wanajitambulisha wenyewe,kidogo tu wametoa vibastola vyao na kuchimba mikwala. Nakumbuka kaka yangu alikwenda chuoni kule ufukweni lakini sikujua aliniambia amepata kazi Zambia hivyo anaacha kazi aliyokuwa anafanya nilikuja kujua baadae sana aliporudi baada ya miezi sita,hii ni kuonyesha kuwa kulikuwa na usiri mkubwa sana kuwa mtumishi wa Idara. Miaka ile hata Mkurugenzi mkuu wa Idara alikuwa hatambulishwi hadharani.
 
Ni kweli mleta maada aondoe jina. Lakini pia kiusalama hivi siyo vitu vya kujadili.
 
Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
Kila mtanzania ni usalama wa taifa

Hata wewe ni usalama wa taifa

JF yote ni usalama na ndio maana kila post huku inafanyiwa kazi Kwa namna yake

Hata waropokaji wote ni usalama because they help the system to operate
 
Pascal Mayalla naomba unifundishe jinsi ya ku-meditate.
 
Usalama wa Taifa wapo wengi sana na si ajabu. Wengine ni bodaboda, wakulima, walimu, wafanyakazi wa serikali, mapadre, wachungaji, mashekhe etc. Kazi yao wengi mnao wajua ni kupeleka tu taarifa kuhusu mambo mbali mbali mengine ya maana na mengine yanakuwa hayana hata maana. Kuna watu kwenye idara za serikali huwa wanaombwa kufanya kazi hiyo ya kukusanya taarifa na kuziwasilisha lakini hakuna lolote special kuanzia mishahara, mafunzo, elimu etc.
Watu wakisikia Usalama wa Taifa wanadhani ni dude flani lenye watu shupavu, geniuses, patriotic etc. Ni hao hao walimu wenzenu, wakulima wenzenu, bodaboda wa kawaida, Watumishi wa Mungu etc. Ndiyo maana hata hapa jukwani unaweza kuta kila member anawafahamu walau watu watano wa Usalama wa Taifa. Ila ifahamike kuwa wapo Usalama wa Taifa original ambao wana mafunzo na wameajiriwa rasmi kwa ajili ya kazi hiyo tofauti na hawa ambao mleta mada kawalenga ambao kimsingi ndio wengi.
 
Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
Usalama wa taifa au usalama wa ccm na mafisadi

Hivi tungekuwa na usalama wa taifa
Bi mkubwa a gewauzia waarabu bandari yetu pendwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…