Kuna vitu huwa vinakera sana na kushangaza kwa baadhi ya wafanyabiashara wanavyofanya biashara zao

Kuna vitu huwa vinakera sana na kushangaza kwa baadhi ya wafanyabiashara wanavyofanya biashara zao

Hii ilikuwa NJOMBE tulikuwa tunasamabaza Bidhaa fulani hvyo tukawa tunachukua ORDER mara ya kwanza
wanakuuliza wewe unaitwa nani mtoto wa nani
Na hapo Biashara unamuachia mari kauli sio kama anakupa ela dah ! Tulipambana hvyohvyo kibishi
kuna maeneo nchi hii ukitaka ufe mapema nenda kajaribu kufanya biashara kwao, hizo bidhaa unakuja kutumia mwenyewe, kwanza ataanza kukusalimia kilugha, ole wako ushindwe kujibu utamsikia kwenye bomba. Kuna watanzania ni wabuguzi hata hawana aibu, ila wakienda maeneo ya watu hawashangai jinsi wanavyochukuliwa sawa tu na wenyeji. Usiombe ukafanya bisahara Bariadi, Moshi, Bukoba, hiyo Njombe sijai-experince. Ishi sehemu isiyo na hayo mambo, utazeeka hawatabadilika.
 
walivyokuwa wanafki hapo wamekutana ugenini, kule kwao wanapigiana juju siyo mchezo. WaTZ wagumu sana.
sana mkuu
Varnish inakuwa na solvents ambazo hutakiwi kula, harufu yake si unasikia ilivyo kali. Ni kama ambavyo huoni kijiko kilichopakwa rangi kutoka kiwandani, na mbao za kula kama mwiko na chopping board hazitakiwi kuwa na rangi au varnish.
hata ikikauka bado ina madhara?
 
Kuna restaurant nilikuwa napenda Kula ..siku moja nafika na kuna jamaa kamaliza Kula anaondoka...nikashangaa mama WA hapo anamuanzishia story jamaa ...kwamba hajabadili suruali siku ya pili ..sikurudi tena pale
😂😂
 
Nyie hamjakutana na kizaazaa! Mererani miaka ya nyuma kuna mgawaha kwa nje pameandikwa karibu mteja ila ukiingia ndani juu ya mlango pameandikwa mteja ni msenge.
Pale ilikuwa ni vyema uende na chenchi kabisa maana unaweza kudai chenchi ukatukanwa au hata kupigwa kabisa... Bahati mbaya kipindi hicho kulikuwa hamna serikali huko, yani watu walikuwa wanaishi kwa sheria zao tu alafu unakuta mgahawa upo huo mmoja tu
 
Kuna ile unafika dukani unatoa hela kuagiza upewe kitu fulani, mhudumu anaichukua hela lakini kitu ulichoagiza hupatiwi kwa wakati, matokeo yake anakuja mteja mwingine anaagiza kama wewe but yeye anahudumiwa fasta na kusepa na kukuacha wewe ukisubiri,, binafsi hii tabia inanikera sana aisee.
 
Katika miaka yangu 7 ya kubank na CRDB nimewahi hudumiwa mara 1 vizuri na mdada mmoja mzuri mweupe kama mimi, wa CRDB Chamwino-Dodoma. Yule dada alinihudumia nikaridhika nikatoka bank roho nyeupe. Wengine bwana! Kwanza mtu anaongelea tumboni, wako moody muda wote khaa!

Bank yangu ya sasa sijawahi pata expirience ya huduma mbaya.
Crdb hawatoi huduma wale, ila wanatoa misaada kwa Wateja.[emoji3][emoji3]
 
Kuna ile unafika dukani unatoa hela kuagiza upewe kitu fulani, mhudumu anaichukua hela lakini kitu ulichoagiza hupatiwi kwa wakati, matokeo yake anakuja mteja mwingine anaagiza kama wewe but yeye anahudumiwa fasta na kusepa na kukuacha wewe ukisubiri,, binafsi hii tabia inanikera sana aisee.
Si tulikubaliana kwamba sie wa daraja A tuwe tunafanya huduma-nafsi (self-service) supermarket na sehemu zinazoendana na hadhi husika? Kwa nini ujibanebane kwene dala2 wakati unamiliki chombo, tena namba E?

Ukitaka kuhudumiwa kama mfalme/malkia, malipo yako yawe ya kifalme na kimalkia. Tips kwa wingi, keep change, nk.

Niongeze volume, au? Niendelee, ama?
 
Kuna ile unafika dukani unatoa hela kuagiza upewe kitu fulani, mhudumu anaichukua hela lakini kitu ulichoagiza hupatiwi kwa wakati, matokeo yake anakuja mteja mwingine anaagiza kama wewe but yeye anahudumiwa fasta na kusepa na kukuacha wewe ukisubiri,, binafsi hii tabia inanikera sana aisee.
inakera mno utaratibu ni aliewahi kabla ahudumiwe wa kwanza.
 
Nyie hamjakutana na kizaazaa! Mererani miaka ya nyuma kuna mgawaha kwa nje pameandikwa karibu mteja ila ukiingia ndani juu ya mlango pameandikwa mteja ni msenge.
Pale ilikuwa ni vyema uende na chenchi kabisa maana unaweza kudai chenchi ukatukanwa au hata kupigwa kabisa... Bahati mbaya kipindi hicho kulikuwa hamna serikali huko, yani watu walikuwa wanaishi kwa sheria zao tu alafu unakuta mgahawa upo huo mmoja tu
aisee hiyo mbona kali. miaka ya nyuma mererani kulikuwa kunaogopwa sana.
 
Back
Top Bottom