saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
kuna maeneo nchi hii ukitaka ufe mapema nenda kajaribu kufanya biashara kwao, hizo bidhaa unakuja kutumia mwenyewe, kwanza ataanza kukusalimia kilugha, ole wako ushindwe kujibu utamsikia kwenye bomba. Kuna watanzania ni wabuguzi hata hawana aibu, ila wakienda maeneo ya watu hawashangai jinsi wanavyochukuliwa sawa tu na wenyeji. Usiombe ukafanya bisahara Bariadi, Moshi, Bukoba, hiyo Njombe sijai-experince. Ishi sehemu isiyo na hayo mambo, utazeeka hawatabadilika.Hii ilikuwa NJOMBE tulikuwa tunasamabaza Bidhaa fulani hvyo tukawa tunachukua ORDER mara ya kwanza
wanakuuliza wewe unaitwa nani mtoto wa nani
Na hapo Biashara unamuachia mari kauli sio kama anakupa ela dah ! Tulipambana hvyohvyo kibishi