Kuna vodeo inatembea mitandaoni ya bodaboda kugongana uso kwa uso na Subaru huko Arusha inahuzunisha sana

Kuna vodeo inatembea mitandaoni ya bodaboda kugongana uso kwa uso na Subaru huko Arusha inahuzunisha sana

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Vijana wa Arusha (wadudu) msipobadilika mtaangamia sana.

Kuna video inatembea mitandaoni hasa twitter, bodaboda akigongana uso kwa uso na Subaru.

Chanzo ni mwendo kasi wa bodaboda na ku-over take bila kuchukua tahadhari.

Nafikiri wale jamaa wa bodaboda wamefariki palepale. Maana mmoja aliburuzwa na tairi la gari.

Kuna ajali nyingine naambiwa imetokea huko Kikatiti leo jioni ambapo bodaboda amevunjika miguu kutokana na mwendo kasi.

Godbless Lema alikuwa mbele ya muda
 
Mwingine uyu unaweza zani ana tengeneza gari ,kumbe ndo safari yake iliishia hapa
 

Attachments

  • GKzlovkX0AIBz66.jpeg
    GKzlovkX0AIBz66.jpeg
    125.7 KB · Views: 19
hawa wanaojita wadudu hapo arusha ni wakunyooshwa haraka sana
Kuna vitu qmbavyo wengi hamvijui. Hao wadudu ni vijana wanaoigiza tu mtandaoni ila sio kwamba vijana wa Arusha wapo hivyo. Mi nipo na nina ishi Arusha, hakuna kitu kama hiko.
 
Back
Top Bottom