Kuna vodeo inatembea mitandaoni ya bodaboda kugongana uso kwa uso na Subaru huko Arusha inahuzunisha sana

Kuna vodeo inatembea mitandaoni ya bodaboda kugongana uso kwa uso na Subaru huko Arusha inahuzunisha sana

Ni kama tukio liliandaliwa kwa ajili ya tik tok ila likaenda mrama, maana jamaa alirekodi wawili wakipita kwa kasi sana alipokuwa anarudi upande wa mwanzo ikawa anagongwa huyo aliyeishia gapo
Alihisi kitu kitatokea sababu ya uendeshaji wa ovyo. Na kweli kikatokea ni vile unamsikia anamwabia mwenzie "si nilikwambia chalii angu?".
 
Machalii mixa wadudu = Bomu la nyuklia. 😎

-Kaveli-
 
Alihisi kitu kitatokea sababu ya uendeshaji wa ovyo. Na kweli kikatokea ni vile unamsikia anamwabia mwenzie "si nilikwambia chalii angu?".
🤣
Meaning wanakufa zaidi ya hao kwa siku
 
kwa hapo arusha hata madereva bajaji ni kero wanachomekea na kupack kila mahali tena ghafla.

tena kama hao madereva bajaji wana mchezo wao wa kugeuza bajaji huku tairi imenyanyuka eti wanaita "kupiga dede'
hovyo sana
Afu unakuta mpaka mijitu mizima inashangilia na kufurahia. Arusha kuna kizazi cho hovyo than elsewhere
 
Arusha vijana wengi ni wapumbavu acha wafe kwa upuuz wao... Mkoa umejaa walevi washamba vibaka na malimbukeni...
 
Vijana wa arusha wanamentality mbovu sana..

Kujiona wahuni kupitiliza, wajanja n wamepinda n.k
 
Bila jeshi la polisi kufanya kazi yao… hawa vijana wanaharibu sana

Hawafuati sheria hata moja
 
Back
Top Bottom