Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,377
- 2,800
Mdudu kafa? RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tik tok kama lilivyo jina lake ni a ticking time bomb, likes, gifts, zinamaliza vijana.Ni kama tukio liliandaliwa kwa ajili ya tik tok ila likaenda mrama, maana jamaa alirekodi wawili wakipita kwa kasi sana alipokuwa anarudi upande wa mwanzo ikawa anagongwa huyo aliyeishia gapo
Naona waliigonga tairi gari halafu wakarushwa ndio wakagongwa na hiyo gari nyingineVijana wa Arusha (wadudu) msipobadilika mtaangamia sana.
Kuna video inatembea mitandaoni hasa twitter, bodaboda akigongana uso kwa uso na Subaru.
Chanzo ni mwendo kasi wa bodaboda na ku-over take bila kuchukua tahadhari.
Nafikiri wale jamaa wa bodaboda wamefariki palepale. Maana mmoja aliburuzwa na tairi la gari.
Kuna ajali nyingine naambiwa imetokea huko Kikatiti leo jioni ambapo bodaboda amevunjika miguu kutokana na mwendo kasi.
Godbless Lema alikuwa mbele ya muda
Achana na sisi wee kachaa😂😂😂Arusha kuna usela flani wa kishamba sana, yaani wanajiona wao ndio wahuni bon town wakati wamejaa usela mav! tu
bodaboda wote wana matatizo... wanyooshwe woteVijana wa Arusha (wadudu) msipobadilika mtaangamia sana.
Kuna video inatembea mitandaoni hasa twitter, bodaboda akigongana uso kwa uso na Subaru.
Chanzo ni mwendo kasi wa bodaboda na ku-over take bila kuchukua tahadhari.
Nafikiri wale jamaa wa bodaboda wamefariki palepale. Maana mmoja aliburuzwa na tairi la gari.
Kuna ajali nyingine naambiwa imetokea huko Kikatiti leo jioni ambapo bodaboda amevunjika miguu kutokana na mwendo kasi.
Godbless Lema alikuwa mbele ya muda
Ni kweli walikuwa wanaenda kuzika moshi walikuwa wengi makundi makundi na mwendo wa ngiri mkia juu!!!Vijana wa Arusha (wadudu) msipobadilika mtaangamia sana.
Kuna video inatembea mitandaoni hasa twitter, bodaboda akigongana uso kwa uso na Subaru.
Chanzo ni mwendo kasi wa bodaboda na ku-over take bila kuchukua tahadhari.
Nafikiri wale jamaa wa bodaboda wamefariki palepale. Maana mmoja aliburuzwa na tairi la gari.
Kuna ajali nyingine naambiwa imetokea huko Kikatiti leo jioni ambapo bodaboda amevunjika miguu kutokana na mwendo kasi.
Godbless Lema alikuwa mbele ya muda
Sio kuzika,walikuwa wanaenda kwenye mashindano ya mbio za pikipiki leo.Unaambiwa wamekufa bodaboda 7 kwa siku ya leo tuNi kweli walikuwa wanaenda kuzika moshi walikuwa wengi makundi makundi na mwendo wa ngiri mkia juu!!!
🤣🤣🤣Sawa nimekuelewa Babahii kwa sisi wazee haina shida sana
labda kwa hawa vijana wa kujita kataa ndoa shuhuli wanayo
Mkuu sijui hawa vijana ujasiri ule wanautoa wapi? Yani wapo speed kaliii na anainyenyua toyo tairi la mbele anatembelea la nyuma.Mbaya zaidi utakuta amepakia wenzake kwa nyuma na wengine ni mabint.SAFI SANA, ZINATAKIWA ZITOKEE 100 KWA SIKU.
NDIO AKILI ZITAKAA SAWA KICHWANI
RIP WADUDU
Kwani wamekufa?SAFI SANA, ZINATAKIWA ZITOKEE 100 KWA SIKU.
NDIO AKILI ZITAKAA SAWA KICHWANI
RIP WADUDU
Ndio maana mmeletewa boya awaburuze wadudu..🤣Achana na sisi wee kachaa😂😂😂