Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Ni kama tukio liliandaliwa kwa ajili ya tik tok ila likaenda mrama, maana jamaa alirekodi wawili wakipita kwa kasi sana alipokuwa anarudi upande wa mwanzo ikawa anagongwa huyo aliyeishia gapoChanzo ni mwendo kasi wa bodaboda na ku-over take bila kuchukua tahadhari.
Nafikiri wale jamaa wa bodaboda wamefariki palepale. Maana mmoja aliburuzwa na tairi la gari.