Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Tupe jina la account twitter tuione.
Du!😪😪😭😢Mwingine uyu unaweza zani ana tengeneza gari ,kumbe ndo safari yake iliishia hapa
Kuna vitu qmbavyo wengi hamvijui. Hao wadudu ni vijana wanaoigiza tu mtandaoni ila sio kwamba vijana wa Arusha wapo hivyo. Mi nipo na nina ishi Arusha, hakuna kitu kama hiko.hawa wanaojita wadudu hapo arusha ni wakunyooshwa haraka sana
Jamaa yupo wrong site kabisaMwingine uyu unaweza zani ana tengeneza gari ,kumbe ndo safari yake iliishia hapa
Usichanganye mambo, hao sio afisa usafirishaji hao ni wahuni na wapumbavu wanaoendesha pikipiki japokuwa kuna afisa usafirishaji wapo hvy.Godbless Lema alikuwa mbele ya muda
Alitakiwa agongwe tena pumbavu zake.Mimi nimefurahi sana, wapumbavu kama hao hawapaswi kuendelea kuishi.
Yaelekea anawajua vizuriAliyerekodi alikaa upande gani?? Mhhh