Ni kama tukio liliandaliwa kwa ajili ya tik tok ila likaenda mrama, maana jamaa alirekodi wawili wakipita kwa kasi sana alipokuwa anarudi upande wa mwanzo ikawa anagongwa huyo aliyeishia gapoChanzo ni mwendo kasi wa bodaboda na ku-over take bila kuchukua tahadhari.
Nafikiri wale jamaa wa bodaboda wamefariki palepale. Maana mmoja aliburuzwa na tairi la gari.
Hii mimi ndio nimeipenda!Mwingine uyu unaweza zani ana tengeneza gari ,kumbe ndo safari yake iliishia hapa
R.i.P Classmate...😥Mwingine uyu unaweza zani ana tengeneza gari ,kumbe ndo safari yake iliishia hapa
Iko wap video?
Arusha kuna usela flani wa kishamba sana, yaani wanajiona wao ndio wahuni bon town wakati wamejaa usela mav! tuHao subaru kaskazini na bodaboda wote akili zao moja.
Vijana wa Arusha sijui wana nn
🤣🤣🤣 unataka uwafanye nini kwani?hawa wanaojita wadudu hapo arusha ni wakunyooshwa haraka sana
Subaru new model hiyo na hana kosa maana alikuwa upande wake mwendo wa kawaida kabisa, toyo kaja kajaa mwenyewe. Gari halina tatizo kabisaHao subaru kaskazini na bodaboda wote akili zao moja.
Vijana wa Arusha sijui wana nn
Wote tutakufa mkuu. Ila tunakufaje? Kuna vingine vinaepukika, ingawa siku ikifika imefika.Ulivyoandika kwa hisia utadhani wewe hutakufa fakii yuu
Umeongea kwa hasira sana 🥴hawa wanaojita wadudu hapo arusha ni wakunyooshwa haraka sana
Sasa boda boda ana hela ya kulipa subaruSubaru new model hiyo na hana kosa maana alikuwa upande wake mwendo wa kawaida kabisa, toyo kaja kajaa mwenyewe. Gari halina tatizo kabisa
Ana uhai kwanza?Sasa boda boda ana hela ya kulipa subaru
ni wakuzungumza nao kabla hawajakomaaUmeongea kwa hasira sana 🥴
Kama wako hai ntaumia sanaAlitakiwa agongwe tena pumbavu zake.
Nimekuja na code ukabaki kushangaa🤣🤣ni wakuzungumza nao kabla hawajakomaa