Kuna vodeo inatembea mitandaoni ya bodaboda kugongana uso kwa uso na Subaru huko Arusha inahuzunisha sana

Kaanza kugonga Corolla kwa nyuma, kapoteza balance ya boda, kajipeleka kwa Subaru kukata roho na abiria wake...

 
ooh lema ndio alikua anaendesha kwa mwendokasi kuwahi muda sio? dah 🐒
 
Mi nimesikitika kuona subaru ilivyokunjika mpaka sina imani na Wajapan,wanajeenga gari kama nyumba zao zilivyo kujihami na matetemeko.
mchina anakupa kopy ya chochote
 
Bodaboda kwa asilimia fulani mengi huwa wanayatafua wao, japokuwa kuna wakati wanasababisiwa ajali, ila kwa asilimia kubwa, vijana wengi wa bodaboda wana akili za kijinga mno, yani wengine wakiwa barabarani ni zero brain kabisa, yani hamnazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…