Alihisi kitu kitatokea sababu ya uendeshaji wa ovyo. Na kweli kikatokea ni vile unamsikia anamwabia mwenzie "si nilikwambia chalii angu?".Ni kama tukio liliandaliwa kwa ajili ya tik tok ila likaenda mrama, maana jamaa alirekodi wawili wakipita kwa kasi sana alipokuwa anarudi upande wa mwanzo ikawa anagongwa huyo aliyeishia gapo
But,RIP.Alihisi kitu kitatokea sababu ya uendeshaji wa ovyo. Na kweli kikatokea ni vile unamsikia anamwabia mwenzie "si nilikwambia chalii angu?".
🤣Alihisi kitu kitatokea sababu ya uendeshaji wa ovyo. Na kweli kikatokea ni vile unamsikia anamwabia mwenzie "si nilikwambia chalii angu?".
Hata kama wako hai, ruksa kurudia tenaKwani wamekufa?
Afu unakuta mpaka mijitu mizima inashangilia na kufurahia. Arusha kuna kizazi cho hovyo than elsewherekwa hapo arusha hata madereva bajaji ni kero wanachomekea na kupack kila mahali tena ghafla.
tena kama hao madereva bajaji wana mchezo wao wa kugeuza bajaji huku tairi imenyanyuka eti wanaita "kupiga dede'
hovyo sana
Babu yako ndo insurance/risk assessor?Subaru Ina Insurance...hapo jamaa anapewa Jipyaaa.
ahahaha magari mengi yenye zaidi ya mwaka tangu yanunuliwe ni 3rd partBabu yako ndo insurance/risk assessor?