Ukilewalala
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 542
- 1,111
Mi kiukweli nikienda ugenini kama nna njaa huwa sijivungi.... Nagonga msosi kisawasawa alafu hakuna kuangalia mtu usoni, nikija kuinua uso shoo imeisha najua huwezi kunisema live utaishia kunung'unika moyoni mwakoAjabu hakuna aliyekiri kuwa na hizi tabia!
Hivi ndivyo tulivyofundishwa.Mama alikuwa anasema ukialikwa mahali popote hata iwe harusi hakikisha unakula nyumbani kwako kwanza.
Usiende kwa watu na njaa yako ukiambiwa pakua unajaza sahani kama ndo pa kupakulia.
Au unafika ukumbini we unatoa mimacho kungojea muda wa kupakua.
Hapa ndio unasikia mgongano wa tamaduni.Unakaribishwa chakula kwenye familia, mabakuli makubwa ya chakula na mbogamboga yanawekwa katikati. Inakuja wakati kila mtu ajiwekee chakula anachopenda.
Mezani mpo nane. Wewe ni mtu wa tatu kujiwekea chakula, utamsikia shemeji leo umenipatia kweli, hawa samaki ndiyo ugonjwa wangu. Anachukua vipande vitatu pasi kufikiria watano wanaomsubiri watapata samaki.
Ustaarabu ni kuchukua chakula kidogo, subiri round ya kwanza iishe. Kama ulipenda sana samaki unaweza kujiongezea katika round ya pili kama watakuwa wamebaki. Wakati huo ndiyo unaweza kusema kama hakuna anaeongeza ninatongeza hawa samaki maana hiki ndiyo chakula ninachokipenda, leo shemeji umenipatia.
Kuna wengine anakula huku anashika smart phone yake mezani anaangalia messages. Jamani hao wanaokutumia hawawezi kusubiri mpaka umalize kula na wenzako? Kama una ujumbe wa muhimu sana deal la mahela unaweza kuwataarifu wenyeji wako kuwa kuna ujumbe ninautegemea lakini ni ustaarabu kuachana na simu wakati mko mezani.
Kujaza choo hyo unajua wew....sis tulikua tunakula tu hakuna kupangiwa...na kwetu kulikuwa na ndugu kama wote..yaan mzee wangu amesomesha ndugu zake karib kijij kizima...wakitoka kijijin wanafkia nyumban.so nmekua nikishuhudia familia kubwa..na wote tulikua tunashiba had tunajinyea..na hata sku1 mama hajawai mpangia mtu kupakua..unakula had unaacha mwenyew mkuu namii ukiniita kwako kama una vibudget kwenye kula..utaaibika mkuu....mim nafukia na sio bongeKwahio mlikuwa mnapika kuku wangapi maanake mapaja yako mawili tu. Kula mapaja mawili au manne ni kujaza choo tu kiwango kinachohitajika ni kidogo sana. Ni Sawa na mtu anaekula ugali mwingiiii anajaza Choo tu.
Mkuu mbona wewe complicator hivyo kwa taarifa yako kiswahili nilipiga banda , hivyo sina shida, nilikomaa zangu na makabeji(CBG), kwahiyo pitia kitu kinaitwa synonym/s(Kisawe/visawe) na wewe uache ulafi, Njooni niwafundishe ufugaji wa samaki bure ikiwa ni mkakati mojawapo wa kuondoa food insecurity(uhaba wa chakula unaoleta udumavu wa mwili, akili pia na Kiroho pia), karibu mwalimu wa kiswahili.Samaki sio mboga ni kitoweo.
Jifunzeni Kiswahili hasa kwa awamu ya tano
Good, ujumbe safi.Unakaribishwa chakula kwenye familia, mabakuli makubwa ya chakula na mbogamboga yanawekwa katikati. Inakuja wakati kila mtu ajiwekee chakula anachopenda.
Mezani mpo nane. Wewe ni mtu wa tatu kujiwekea chakula, utamsikia shemeji leo umenipatia kweli, hawa samaki ndiyo ugonjwa wangu. Anachukua vipande vitatu pasi kufikiria watano wanaomsubiri watapata samaki.
Ustaarabu ni kuchukua chakula kidogo, subiri round ya kwanza iishe. Kama ulipenda sana samaki unaweza kujiongezea katika round ya pili kama watakuwa wamebaki. Wakati huo ndiyo unaweza kusema kama hakuna anaeongeza ninatongeza hawa samaki maana hiki ndiyo chakula ninachokipenda, leo shemeji umenipatia.
Kuna wengine anakula huku anashika smart phone yake mezani anaangalia messages. Jamani hao wanaokutumia hawawezi kusubiri mpaka umalize kula na wenzako? Kama una ujumbe wa muhimu sana deal la mahela unaweza kuwataarifu wenyeji wako kuwa kuna ujumbe ninautegemea lakini ni ustaarabu kuachana na simu wakati mko mezani.
Wewe upo kama mimi kiukweli muda wa kula chakula ugenini ni adui yangu mkubwa sana, siupendi huo wakati huwa nakosa amani na furaha hata radha ya chakula huwa sisikii kabisa km ntalazimishwa kula, nikifikia kwa ndugu labda mkoa huwa nakula kabisa mbali na kwa wenyeji wangu, sipendi kuwa kero kwa wengine hasa upande wa chakulaHivi watu wanawezaje kufanya hivyo ugenini au ndo ucheshi na uchangamfu? sitasahau siku 1 nilipo karibishwa chakula mezan tuko watu 5 nilipakua chakula kidogo kuliko wenyeji na nikadanganya kuwa nimeshakula huko nilipo toka.
Baada ya dakika 10 akaingia mtt wao katoka shule akakuta chakula kimeisha alilia sana hata alipo ambiwa asubir apikiwe chake bado aliendelea kulia huku ananiangalia kwakweli nilijiskia vbaya sana, baba wa mtoto akamtandika mtoto wake kwa kosa la kutokua na adabu na Mimi nikiwepo ndo nikaendelea kukosa amani kabisa nikajiona Mimi ndo chanzo Cha yote.
Hadi leo hii nikiwa ugenini ukifika mda wa kula ndo muda ninao uchukia zaidi na ninaweza kukataa kula kabisa kama ikiwa tu ni sehem nilienda kusalimia na kupita
Huna tofauti na mm nachukia sana nikifika ugenini muda wa kulaHivi watu wanawezaje kufanya hivyo ugenini au ndo ucheshi na uchangamfu? sitasahau siku 1 nilipo karibishwa chakula mezan tuko watu 5 nilipakua chakula kidogo kuliko wenyeji na nikadanganya kuwa nimeshakula huko nilipo toka.
Baada ya dakika 10 akaingia mtt wao katoka shule akakuta chakula kimeisha alilia sana hata alipo ambiwa asubir apikiwe chake bado aliendelea kulia huku ananiangalia kwakweli nilijiskia vbaya sana, baba wa mtoto akamtandika mtoto wake kwa kosa la kutokua na adabu na Mimi nikiwepo ndo nikaendelea kukosa amani kabisa nikajiona Mimi ndo chanzo Cha yote.
Hadi leo hii nikiwa ugenini ukifika mda wa kula ndo muda ninao uchukia zaidi na ninaweza kukataa kula kabisa kama ikiwa tu ni sehem nilienda kusalimia na kupita
Mimi nikipakuliwa chakula katika sherehe/msiba kamwe siwezi kuongeza hata kama sijashiba. Niliwahi kuandika humu watu wakaanza kunitukanaMama alikuwa anasema ukialikwa mahali popote hata iwe harusi hakikisha unakula nyumbani kwako kwanza.
Usiende kwa watu na njaa yako ukiambiwa pakua unajaza sahani kama ndo pa kupakulia.
Au unafika ukumbini we unatoa mimacho kungojea muda wa kupakua.
[emoji1787][emoji39][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwingine anaweza kujifanya mstaarabu anakula kwa adabu kumbe kwenye pochi kajibebea magimbi yake na viazi vitamu vya kuchemsha.... Mmelala ye anajigongea vitu vyake adoado.. Hiyo inaitwa usinichoshe nisikuchoshe
Nikiwah kwenda ugenini....sasa sijui ilikuwa wananikomoa maana kiukweli chakula nilichokuwa naekewa hata mtoto hashibi mwanzoni niliona pengine wamekosea..huko mbeleni nikaona isiwe tabu cha kujitesa nn....nikila pale najivuta mtaani nazuga naenda kuangalia mpira napitia kibandani nakandamiza chipsi yai fresh, heeee! Sikh tupo sebleni dogo si akaropoka, Duuuh, uncle mchoyo sana chakula chetu tunampa ila yeye akila chipsi zake kule barabarani anajificha...dogo asijue nilikuwa namtoa shemeji hela kila asubuhi aongeze kwenye bajeti ya msosi licha ya kuachiwa hela na mumewe...hakuna siku nilijisikia noma kama siku hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwingine anaweza kujifanya mstaarabu anakula kwa adabu kumbe kwenye pochi kajibebea magimbi yake na viazi vitamu vya kuchemsha.... Mmelala ye anajigongea vitu vyake adoado.. Hiyo inaitwa usinichoshe nisikuchoshe
My dear Sky Eclat
Ndio maana siku zote wazazi huwa wanashauriwa kuwa wanakula meza moja na watoto wao ili wawafundishe TABLE MANNERS ikiwamo kuwafikiria wengine na hata namna ya kutafuna chakula.
Inawezekana hao wageni ndio wale waliopelekwa boarding wakiwa bado wadogo sana (darasa la tatu) wakakosa muda wa kufundishwa tabia njema na wazazi/walezi wao.
Me nikiwa naenda popote huwa nahakikisha nimekula kabisa japo nipo half way full. Ili nikienda kwa watu niwe comfortable wakati wa msosi au kama ni mtoko tuweze agiza hata chakula simple kama bites au dessert.Unakaribishwa chakula kwenye familia, mabakuli makubwa ya chakula na mbogamboga yanawekwa katikati. Inakuja wakati kila mtu ajiwekee chakula anachopenda.