Kuna wakati kufanya kosa sio kosa....Happiest Birthday to my 1st love πŸ€—

 
Vunja na dining table kabisaa
 
Jamani Heaven Sent πŸ€—πŸ€—πŸ€— Thank you for the lovely ujumbe.😘😘😘

Inshallah Mungu akasikie na kutenda sawa sawa !πŸ˜‡πŸ˜‡
 
Lizzy is baaaaaaaaack

Kumbe ulikuwa unalea

Hongera kwa kukuza

Happy birthday kwa huyo malaika!!!!
Asante mpenzi ila mbona nipo muda mrefu...
Sema kuna kipindi utoto ulizidi humu nikaona panachosha nikaweka kambi Selfika huku kwingine nikawa na-comment kimoyo moyo πŸ₯΄πŸ₯΄πŸ˜
 
Mpenzi hawa kina KakaJambazi tuishie kuwaangalia tu. Kutilia maoni yao maanani ni kujitakia stress sizizotuhusu πŸ₯΄πŸ₯΄

Btw...thank you for the birthday wishes!πŸ€—πŸ˜˜
I hope you & yours are doing great!!!
Ishu inakuja, huyo huyo anayekupa stress na ukaamua ku-move on, bado ataendelea kukuambukiza ujauzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…