Kuna wakati wabongo walitaka kutuaminisha na hii kauli "hata hao wazungu wana uchawi wao"

Eti wajerumani ni wachawi sanaπŸ˜†πŸ˜†
 
Kuna namna tukiwa wadogo , yale mawazo na maswali yetu yanayosekana ni ya kitoto yalikua bora mno , tulipo kuja mezwa kwenye matrix ndio ikawa basi tenaπŸ€”
 
Tumedanganyana miaka nenda rudi kuwa kuna nguvu za kufikrika zinazoweza kukupa mali na miujiza sasa ujiukize kama tuna ustadi huu kwa nini jamii ibaki kuwa makapuku.
Ushawahi kufanyia uchunguzi suala hilo mkuu ili kujua kama kweli upo huo uwezakano wa hizo nguvu za kumpa mtu mali lakini kwanini jamii iwe na makapuku au kuchunguza na kugundua hakuna ukweli wa uwepo wa hiyo nguvu?

Kwa sababu kuishia tu kutizama ukapuku wa jamii haitoshi maana mbali na imani ya hizo nguvu za kufikirika ili kupata mali, pia zipo mbinu za uhalisia za kufanikiwa na kutajirika watu huzisoma na kuzifanyia kazi kivitendo ila bado ni makapuku vilevile.
 
Kuna namna tukiwa wadogo , yale mawazo na maswali yetu yanayosekana ni ya kitoto yalikua bora mno , tulipo kuja mezwa kwenye matrix ndio ikawa basi tenaπŸ€”
I concur.

Watemi waliwajua wagagnga wa jadi maarufu mbona hawakuwasaidia kushinda wazungu

Mzungu alitushinda kutokana mbinu na teknolojia..
Tatizo we dont learn from our history, tunaitumia kujibia mitihani ya form 4
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu.

Rituals zipo nyingi sana na zinafanyika sana, na huwa zinafanyika kama kutengeneza muunganiko wenu uwe wa pamoja au kupokea mgeni mpya

Lakini sio eti rituals za kupata nguvu kwa namna ya kichawi
Bado hujui mambo chief naukubali uwezo wako wa kufikiri lakini Kwa hiki ulicho kiandika inadhihirisha wazi kwamba sio Kila mtu anaweza kuwa na ufahamu wa Kila kitu

Katika hili Naomba ufahamu kwamba Katika nyanja ya hayo mambo bado haujui kitu ,
 
Hizo imani za kipumbavu ndio zimeifanya Africa iwe ilivyo hivi sasa.
 
Kiukweli hayo mambo na umri wangu nayasikia tu watu wanasema , bi mkubwa ana miaka 80 nae nilishawahi mhoji nae ana yasikia tu , na bibi yangu kazeeka hata kiswahili hajui vizuri nae nilimhoji nae anasikia tu wala hajawahi shuhudia 😁 , labda tumuulize Mjusi Sharobalo
I concur.

Watemi waliwajua wagagnga wa jadi maarufu mbona hawakuwasaidia kushinda wazungu

Mzungu alitushinda kutokana mbinu na teknolojia..
Tatizo we dont learn from our history, tunaitumia kujibia mitihani ya form 4
 
Kwahyo waganga wa jadi hawana maana.
Mimi nadhani hadi sasa kusingekuwa na waganga au tuseme wangebaki wachache mno, kwa sababu kama watu wanaenda kwa waganga ili kupata suluhisho la matatizo yao au kufanikisha mambo yao wanayoyataka ila ikawa hakuna kinachofanikiwa basi ile hali ya watu kwenda kwa waganga ingepotea kwa sababu hakipatikani kile wanachokitaka.
 
Biashara ni mtaji sio kuchinja kuku.

Kupanda cheo ni bidii au kupendelewa sio kuchinja mbuzi.
Hao wanachinja watoto wadogo wale watoto wanao potea. Unajua Kings Solomon sababu ya mafanikio yake kubwa ni kutumia viumbe vyengine kwenye maendeleo yake.
 
Bado hujui mambo chief naukubali uwezo wako wa kufikiri lakini Kwa hiki ulicho kiandika inadhihirisha wazi kwamba sio Kila mtu anaweza kuwa na ufahamu wa Kila kitu

Katika hili Naomba ufahamu kwamba Katika nyanja ya hayo mambo bado haujui kitu ,
Wewe unaejua mambo leta hapa evidence kuwa kuna njia za kufanya ukapata mali kimijiuza tofauti na hapo wewe ni mtazama blog za porno na kusoma vile vi-ad vinavyojitokeza "epstein was lucifer's right hand man"
 
Sawa
 
Hao wanachinja watoto wadogo wale watoto wanao potea. Unajua Kings Solomon sababu ya mafanikio yake kubwa ni kutumia viumbe vyengine kwenye maendeleo yake.
😁😁 Ndugu nakuonea huruma sana sio kwamba una tabu ila una shida sana

I hope u grow up
 
Bora umwambie wewe

Mimi naishi katika mazingira ya ulimwengu ambao nikimueleza anaweza asiamini hata robo na yote ambayo now Ninayo yashuhudia wakati nahadithiwa zamani nilikuwa Nina Ona kwamba ni story tu za vijiweni

Nyieeee Dunia inatisha
Acha blaaah blaah nyingi

Fanya ritual moja hapa vijana wa JF wawe matajiri kama epstein tuanze kutafuna watoto
 
Haujasikia hata Epstein alikuwa ana perform ritual huko na matajiri wenzake !?

Uchawi upo , But uchawi mali na utajiri unaendana na knowledge upstairs

Bado hujui mambo chief naukubali uwezo wako wa kufikiri lakini Kwa hiki ulicho kiandika inadhihirisha wazi kwamba sio Kila mtu anaweza kuwa na ufahamu wa Kila kitu

Katika hili Naomba ufahamu kwamba Katika nyanja ya hayo mambo bado haujui kitu ,
Mkuu kuna mahali nliona na wewe unapinga uwepo wa Mungu, kinachonshangaza hapa una amini uchawi upo.... hii imekaaje mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…