DOKEZO Kuna wakimbizi wengi toka Malawi maeneo ya Mwananyamala

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Yani wewe ni zaidi ya mchawi na kama ww ni mwanaume daaah inasikitisha yani unamchoma rafiki yako?
 
Wanawake wengi wakimalawi hawajui kupika, ila ni wakarimu Sana nimekaa nao Zaidi ya miezi3 mwaka 2017 maeneo ya Nkhata Bay,
Kupika ni Sanaa, ni utashi wa mtu binafsi kujifunza.

Hata wewe ukitaka kujifunza mapishi unaweza kujifunza online na watu wakashangaa na spice zote utazijuwa na utajuwa kumarinate nyama mtu ale apate ladha nzuri.
 
Mi huwa nawahurumia wabongo na watu wengine,kule S.A kipindi wakiwavalia njuga,waondoke,kumbe hata huku nako kuna watu wana roho mbaya hivi?
Hao ma hausiboyi au mahausigeli wakiondolewa,utapata nafasi ya hizo kazi kweli?
We ni mwaminifu na unajua Kiingereza?
Kitakachofanyika watatafutiwa vibali na wataendelea kuwepo.Pole sana mleta mada.
 
Watanzania kuweni na akili hata yakuchambia tu chooni! Malawi imeanza lini kuzalisha wakimbuzi? Hovyo sana.
 
Halafu watanzania wa mpakani wanapata huduma bure za matibabu wakiingia Malawi,wapo watz wengi wanakaa Tanzania lakini watoto wa msingi wanasoma shule za Malawi kule Ileje,hata ukienda Wilaya za mpakani

Mtz kwenda kutibiwa au kusoma Malawi ni kichekesho. Malawi wanaiona bongo kama London.
 
Hawana baya hawa na ni waaminifu sana. Mimi kuna rafiki zangu wamalawi na namba zao ninazo tunawasiliana vizuri tu. Ukimpa kazi anakufanyia vizuri tofauti na wengine.
 
hawa TISS na wengine wanafanya kazi gani?
 
Vipi una shida gani na hiki nilichochangia kwenye hii mada? Mbona umekuja kwa kupaniki sana?
Ni sehemu gani nimeandika kwa kupaniki zaidi ya kueleza hali halisi kati ya Tanzania na Malawi.
Kwa anayejua historia ya Tanganyika na Malawi kabla ya uhuru chini ya mwingereza hashangai uwepo wa wamalawi hapa nchini kama ilivyokuwa wanyakyusa kusoma shule nchini Malawi bila kuulizwa na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…