DOKEZO Kuna wakimbizi wengi toka Malawi maeneo ya Mwananyamala

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mimi hapa kilimanjaro mpakani holili kuna machalii wa kenya wapo kibao na ninakula dada zao wa kikamba hawana choyo wala nini, sema ni mablack nikirudi moshi huwa natia timu kwa hawa marafiki πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Tuachieni cheap labour wetu"wamalawi"...

wabongo pasua kichwa aisee!!!ukiajir mbongo ni sawa na kujiajiri mwenyewe coz mda wote lazma umsimamie na kumfata fata..but Kwa ndug zangu wamalawi hawana baya...natoa Rai wamalawi popote mlipo endeleeni kuwaita ndugu zenu wake Tz kazi za kutosha uku...

Zaid nachowapendea wamalawi hawapend biashara ha ha ha wao wanataka kuajiiriwa tu hata kama utamlipa kiasi kidogo ..hvo nyie mnaopiga kelele sijui uhamiaji sijui Tiss ebu achene roho mbayaaaaaaaaa,pambaneni na waarabu ndio wanachukua bandar zetu
 
Mtz kwenda kutibiwa au kusoma Malawi ni kichekesho. Malawi wanaiona bongo kama London.
Wewe hata Morogoro haujawahi kufika unataka kuelezea mambo usiyoyajua. Wanyakyusa wengi walipata elimu Malawi na inatokana na Mungu kuwaunganisha kwa kuwawekea mpaka unaowaonjesha uraia wa nchi zote mbili kila msimu wa masika.
 
Mimi hapa kilimanjaro mpakani holili kuna machalii wa kenya wapo kibao na ninakula dada zao wa kikamba hawana choyo wala nini, sema ni mablack nikirudi moshi huwa natia timu kwa hawa marafiki πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Unasemaje na huko Rombo, mama zako hawaliwi?
 
Unasemaje na huko Rombo, mama zako hawaliwi?
Wanaliwa hakuna shida kwanini kubaniana papuchi kama wanaume wa rombo wanatia tungi na mama wako na haja mi sioni shida mkuu....
Wengine wanaenda dar kutafuta maisha wake wameecha nyumbani acha waliwe.
 
Wamalawi wezi pia nimewashuhudia.

Kiingereza siyo lugha ya kwanza Malawi badala yake wengi wanaoongea kiingereza kama lugha ya kwanza ni waliozaliwa centre la sivyo huanza na Kichewa na kutakiwa kujifunza
 
Acha unaa wakongo wamejaa kibao na wasomali mbona hauulizi? Wageni as long hawana shida mie sioni tatizo wakae tu. Ukarimu wetu ndio unatusaidia tunaishi vizuri tukienda nchi zao.

Wamalawi uziri wake hawachukui kazi zetu wao wanadeal na kazi za ndani na usafi, gardening nk hizi ni kazi ambazo hata watanzania hawana mpango nazo pia wanapiga kazi sana tena kwa uaminifu mkubwa.

Wacongo hawachukui kazi zetu wao wanadeal na ishu zao za kushona mitindo maarufu na kukata viuno kutuimbuiza watu tukiwatunamwagilia moyo .

Sioni sababu ya kuhangaika nao wacha waje tuwapangishe nyumba watu wachukue kodi. Laiti ungeona tunavyopokelewa nchi zao wakisikia wewe ni mtanzania wanakukirimu sana na watafukuza watu wote ila sio mtanzania.

Waache.
 
Hata Sisi watanzania tumejaa hapa Lilongwe Malawi,watu wana maduka,migahawa,vibanda vya chips ,umachinga ,biashara za mazao nk. Hatuna vibali vya kufanya biashara zaidi ya entry permit ya kwenye passport.
 
Tuachane na mipaka tuliyowekewa na wakoloni wa kizungu, hao wamalawi ni ndugu zetu, ikiwa wamekuja kuishi kwa ndugu zao hakuna tabu, kwanza hiyo ni nguvu kazi tayari tumeipata kama nchi watasaidia kuinua uchumi wa nchi kwa huduma zao watakazozitoa, sisi wabongo pia tupo huko nje kama South Afrika, Mozambique n.k. tunaishi bila kufuata taratibu za uhamiaji wa nchi husika. Na kwa Bongo usidhani kuwa hawatambuliki, ila kwa kuwa hawana madhara ya uvunjifu wa amani ndiyo maana wapowapo, kama kungetokea viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani sidhani kama wangalikuwepo hao unaowaita wamalawi au wakimbizi. Ndugu fanya kazi utafute pesa ili umuoe huyo mmalawi wako.
 
Watu wanapofichua watu, wanaoishi kinyume na sheria za uhamiaji, waache wafanye hivyo Tanzania, anakaribishwa kila mtu, ila aingie ki halali, wema kazi na matendo yao mazuri, haya haralishi uhamiaji haramamu.

Hivyo nawewe kama umeona kuna wazungu wanaishi Nchini kinyume na taratibu za uhamiaji, unatakiwa kuzitonya mamlaka kama alivyo fanya mwenzio.
Naamini watu wa uhamiajo mnapita humu, ni wajibu wenu sasa kuamka, baada ya kuamshwa.
 
Nenda kwao, bila vibali vya uhamiaji, ukauone huo undugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…