DOKEZO Kuna wakimbizi wengi toka Malawi maeneo ya Mwananyamala

DOKEZO Kuna wakimbizi wengi toka Malawi maeneo ya Mwananyamala

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni tangu kitambo sana na chaka kao kubwa lilikuwa Mwenge .. Hii ninayosemea ni wayback 2010 na kuendelea au kurudi nyuma kidogo
Wengi walitawanywa kwenye familia zinazojiweza na kuwa ma house boys na girls kwa mishahara mizuri kutokana na kumudu lugha ya kiingereza vizuri
Wengine walikuwa waajiriwa kwenye mabaa makubwa, hotel na sehemu za starehe
Walipatikana zaidi
Mwenge
Kijitonyama
Ma saki
Mikocheni
Oyterbay
Maeneo jirani na chuo kikuu
Kamwe no
Wengi wao waliajiriaa kwenye familia za matajiri, wageni, wafanyabiashara na wawekezaji mbalimbali.. Kuna ambao walijiongeza wakajifunza Kiswahili haraka na mikataba yao ya Kazi ilipokwisha wakajichanganya mitaani kuoa na kuolewa.. Wapo pia wenye vitambulisho vya taifa kabisa..!

Kwa jinsi walivyokuwa wanakuja kwa wingi sssa hivi watakuwa wamejichanganya sehemu kubwa ya nchi na hata Dodoma wapo wa kutosha sana.. Last week nilikuwa Tanga kwenye mishe zangu nikakutana na mmoja dogo tu anafanya ishu za madini.. Hajui kabisa Kiswahili hivyo anatembea na mkalimani na tayari amepata binti wa kitanga [emoji23]
Wengi wanaona tz Kama ulaya ya magharibi nilikuwa Malawi kipind fln aisee jamaaa wanapakubali Sana dar es Salam yaani wanaamini kbsa wako mbele

Mwak2005 Bab angu mdg alimuajiri mmalawi na kukah hapo miaka 4 kimara stop over
 
Habari,

Nimejaribu sana kufuatilia na kugundua sana sehemu ya Mwananyamala kumejaa sana wakimbizi au malawi au wamalawi wengi wano ishi bila ya kua na vibari.

Sijajua Uhamiaji wanafanya kazi gani. Maana imekuwa kawaida sana kukuta wamalawi wakiwa wengi sehemu hiyo pamoja na Mbezi Beach wakiwa kama wafanyakazi wa ndani.

Sijajua shida ni nini ila naomba serikali ifanye jitihada. Maana nipo na rafiki yangu wa kike mmalawi.
Wamalawi ni watu wazuri sana kitabia. Sijawahi kusikia wanaleta chokochoko zozote. Nadhani kiwango cha umaskini kwao kiko juu ndiyo maana wanakuja kutafuta maisha. Rais wanaotakiwa kipiga marufuku ni mapopo.
 
Africans tend to glorify their differences more than those aspects that unifies us.

We are all Africans in African continent, This boundaries between us are just Fictional identity.
Wenyewe kwa wenyewe tunakaziana
Wakati wafrika wenzao wanatimuliwa
Huko kwenye ardhi yao na wageni kutoka nje ya afrika.....na hawapigi
Kelele

Ova
 
Ukimwambia Karume ni mmalawi hawezi kuamini, Ukimwambia aliyepandisha bendera mlima kilimanjaro ni mmalawi hawezi kuamini. Watu ambao hawasafiri ndio wanaweza kuongea hivyo,aende Lusaka akajionee watanzania walivyojaa tena hawana vibali na mamlaka za huko zinajua eneo hili kuna watanzania na hawana vibali.
Lijitu ambalo halijawahi kuvuka boda
Lazima awe na mawazo hayo
Wakati wabongo wenyewe wamejaaa
Nchi za watu

Ova
 
Sina shida na uwepo Wao kea Uwingi kwani hata Watanzania nao wako Wengi sana Afrika Kusini na 70% hawana Vibali.

Mimi shida yangu Kubwa kwa Wamalawi walioko hapa Tanzania ni kwanini hawana Mbunye ( K ) Tamu japo siyo wachoyo wa Kukuvulia Chupi zao?
Ahahahahahaah
 
Africa eote ndugu moja ....hakuna sababu ya visa kati mchi na nchi ...huo utumwa mawazo....tujitambie ...Africa utumwam mawazoo...unatusumbuaa
 
Hili suala la Wamalawi nimelisikia sana Serikali iingilie kati kuhusu wahamiaji haramu.
 
Shamba la bibi
Mwalimu nyerere aliwajaza ikulu enzi hizo, katika watu bora,waaminifu friendly wana akili,hawana majidai hawachagui kazi ni jamii ya wamalawi,hata karume alikuwa mmalawi,wamalawi HAWANA NENO,karibuni sana.
 
Shule zote Malawi hufundisha kwa kiingereza, hakuna shule zinazoweka ada kubwa kwa ujinga eti wanafundishia kiingereza, mbona hata hapa mpaka miaka ya sitini mwishoni shule zote kasoro za TAPA zilikuwa zinafundisha kwa kiingereza.
Hao mahausi boi na geli wanapendwa na wazungu kws sababu wanaelewana lugha, kuna mzungu mmoja bahati mbaya aliingia kichwa kichwa akaajiri mmbongo akawa kila siku ananiita nimtafsirie maagizo, mwisho wenzake wakamtafutia mmalawi.
Kuelewana na kua mjuzi wa hiyo lugha ni ishu mbili tofauti
 
Back
Top Bottom