DOKEZO Kuna wakimbizi wengi toka Malawi maeneo ya Mwananyamala

DOKEZO Kuna wakimbizi wengi toka Malawi maeneo ya Mwananyamala

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nenda Malawi utawakuta watamzania wengi sana pia kiswahili si lugha mali ya Tanzania, Malawi kipo pia na kuna wale wa Kyela ambao uraia hubadilika kutokana na kubadilika mkondo wa mto Songwe, pia baadhi ya makabila yapo pande zote mbili, nenda Ileje unaweza ukaingia Malawi bila kujua mpaka mtu akufahamishe, hii hutokana na watu wake kuwa jamii moja.
Swali langu kwako kutokana na unachokilenga, unadhani unaowalenga wakiondoka wazungu watakuajiri wewe kazi za nyumbani? Lugha na uaminifu unavyo?
Mnhuu Kiswahili kipo waaaapi Malawi? Hii kamba bwasheee
 
Hata Sisi watanzania tumejaa hapa Lilongwe Malawi,watu wana maduka,migahawa,vibanda vya chips ,umachinga ,biashara za mazao nk. Hatuna vibali vya kufanya biashara zaidi ya entry permit ya kwenye passport.
Kwahiyo umeamua kujichoma au?
Ngoja tuja tufanye kazi,huwezi ukawa unafanya biashara nchi za watu bila kibali.
 
Sina shida na uwepo Wao kea Uwingi kwani hata Watanzania nao wako Wengi sana Afrika Kusini na 70% hawana Vibali.

Mimi shida yangu Kubwa kwa Wamalawi walioko hapa Tanzania ni kwanini hawana Mbunye ( K ) Tamu japo siyo wachoyo wa Kukuvulia Chupi zao?

Ushaonja kumbe Genta
 
Waacheni tu mimi mama yangu alikua ananisimulia alikua anaenda zambia kuuza nguo then anarudi.Wageni tu wanajitafuta
 
Ni tangu kitambo sana na chaka kao kubwa lilikuwa Mwenge .. Hii ninayosemea ni wayback 2010 na kuendelea au kurudi nyuma kidogo
Wengi walitawanywa kwenye familia zinazojiweza na kuwa ma house boys na girls kwa mishahara mizuri kutokana na kumudu lugha ya kiingereza vizuri
Wengine walikuwa waajiriwa kwenye mabaa makubwa, hotel na sehemu za starehe
Walipatikana zaidi
Mwenge
Kijitonyama
Ma saki
Mikocheni
Oyterbay
Maeneo jirani na chuo kikuu
Kamwe no
Wengi wao waliajiriaa kwenye familia za matajiri, wageni, wafanyabiashara na wawekezaji mbalimbali.. Kuna ambao walijiongeza wakajifunza Kiswahili haraka na mikataba yao ya Kazi ilipokwisha wakajichanganya mitaani kuoa na kuolewa.. Wapo pia wenye vitambulisho vya taifa kabisa..!

Kwa jinsi walivyokuwa wanakuja kwa wingi sssa hivi watakuwa wamejichanganya sehemu kubwa ya nchi na hata Dodoma wapo wa kutosha sana.. Last week nilikuwa Tanga kwenye mishe zangu nikakutana na mmoja dogo tu anafanya ishu za madini.. Hajui kabisa Kiswahili hivyo anatembea na mkalimani na tayari amepata binti wa kitanga [emoji23]
Safi sana acha wajenge nchi maana wanachapa kazi, huko kwao kutazidi kudorora maana nguvu kazi inatimkia bongo
 
Maana nipo na rafiki yangu wa kike mmalawi.
Kwa hiyo unatakaje, unataka rafiki yako arudishwe kwao? Kama wanafanya kazi zao bila bugudha kinachokuuma nini, au na wewe unafanya kazi za ndani unahifia ajira yako?
 
Mkimbizi sio lazima akimbie Vita, hata wakimbizi was kiuchumi wapi Ila hawatambuliki rasmi.
Hiyo labda ni definition yako
1692915649798.png
 
Hiyo labda ni definition yako
View attachment 2727739
Economy install kwenye natural disasters, angalia wahamiaji wanaotoka afrika ambao Kila siku tunasikia Mara boti imezama wengi wanaondoka sababu ya Hali mbaya ya kiuchumi.
Ila wanakosa status ya kutambuliwa na mashirika Kama unhcr kwa sababu hakuna nchi inayotaka kubeba mzigo was kuhudumia wananchi wengine kwa sababu za kiuchumi.
 
Tena states Ndo hatari

Kukamatwa ni mpaka mtu akuchome so wengi vibali vikiisha wanabaki
Na ni wengi kweli kama unavyosema
Tulipewa training na wa USA watu border patrol,walituambia wanajua USA illegal wapo wengi wamefanya vile ili kuboost nguvu kazi yaani kupata cheap labour.
Pia ukiwa illegal ukikaa sawa umejiimarisha unaruhusiwa kwenda ofisi zao unaenda kujisafisha.
 
Back
Top Bottom