Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True they like bananas or mbangaHapo kwenye too much banana beers 🍺 🍻 🍌🍌 nimecheka 🤣🤣🤣🤣🤣
Mnhuu Kiswahili kipo waaaapi Malawi? Hii kamba bwasheeeNenda Malawi utawakuta watamzania wengi sana pia kiswahili si lugha mali ya Tanzania, Malawi kipo pia na kuna wale wa Kyela ambao uraia hubadilika kutokana na kubadilika mkondo wa mto Songwe, pia baadhi ya makabila yapo pande zote mbili, nenda Ileje unaweza ukaingia Malawi bila kujua mpaka mtu akufahamishe, hii hutokana na watu wake kuwa jamii moja.
Swali langu kwako kutokana na unachokilenga, unadhani unaowalenga wakiondoka wazungu watakuajiri wewe kazi za nyumbani? Lugha na uaminifu unavyo?
Kwahiyo umeamua kujichoma au?Hata Sisi watanzania tumejaa hapa Lilongwe Malawi,watu wana maduka,migahawa,vibanda vya chips ,umachinga ,biashara za mazao nk. Hatuna vibali vya kufanya biashara zaidi ya entry permit ya kwenye passport.
Sina shida na uwepo Wao kea Uwingi kwani hata Watanzania nao wako Wengi sana Afrika Kusini na 70% hawana Vibali.
Mimi shida yangu Kubwa kwa Wamalawi walioko hapa Tanzania ni kwanini hawana Mbunye ( K ) Tamu japo siyo wachoyo wa Kukuvulia Chupi zao?
Safi sana acha wajenge nchi maana wanachapa kazi, huko kwao kutazidi kudorora maana nguvu kazi inatimkia bongoNi tangu kitambo sana na chaka kao kubwa lilikuwa Mwenge .. Hii ninayosemea ni wayback 2010 na kuendelea au kurudi nyuma kidogo
Wengi walitawanywa kwenye familia zinazojiweza na kuwa ma house boys na girls kwa mishahara mizuri kutokana na kumudu lugha ya kiingereza vizuri
Wengine walikuwa waajiriwa kwenye mabaa makubwa, hotel na sehemu za starehe
Walipatikana zaidi
Mwenge
Kijitonyama
Ma saki
Mikocheni
Oyterbay
Maeneo jirani na chuo kikuu
Kamwe no
Wengi wao waliajiriaa kwenye familia za matajiri, wageni, wafanyabiashara na wawekezaji mbalimbali.. Kuna ambao walijiongeza wakajifunza Kiswahili haraka na mikataba yao ya Kazi ilipokwisha wakajichanganya mitaani kuoa na kuolewa.. Wapo pia wenye vitambulisho vya taifa kabisa..!
Kwa jinsi walivyokuwa wanakuja kwa wingi sssa hivi watakuwa wamejichanganya sehemu kubwa ya nchi na hata Dodoma wapo wa kutosha sana.. Last week nilikuwa Tanga kwenye mishe zangu nikakutana na mmoja dogo tu anafanya ishu za madini.. Hajui kabisa Kiswahili hivyo anatembea na mkalimani na tayari amepata binti wa kitanga [emoji23]
Kwa hiyo unatakaje, unataka rafiki yako arudishwe kwao? Kama wanafanya kazi zao bila bugudha kinachokuuma nini, au na wewe unafanya kazi za ndani unahifia ajira yako?Maana nipo na rafiki yangu wa kike mmalawi.
Hiyo labda ni definition yakoMkimbizi sio lazima akimbie Vita, hata wakimbizi was kiuchumi wapi Ila hawatambuliki rasmi.
Waha wa kopesha vyombo huku mwananyamala kisiwana wanajipingia tu.Wadada wa Malawi mbunye ni bure
Mkeo anakusumbua?kaka unaweza nisaidia namba zao inbox
Sijui hawa mabwana wa Uhamiaji wanafanya kazi gani!Warundi
Wamalawi
Wazambia
Hata wazimbabwe wako Tele Tz
Economy install kwenye natural disasters, angalia wahamiaji wanaotoka afrika ambao Kila siku tunasikia Mara boti imezama wengi wanaondoka sababu ya Hali mbaya ya kiuchumi.Hiyo labda ni definition yako
View attachment 2727739
Tena states Ndo hatariNa Sasa hivi wabongo kibao USA wapo bila vibali
Tulipewa training na wa USA watu border patrol,walituambia wanajua USA illegal wapo wengi wamefanya vile ili kuboost nguvu kazi yaani kupata cheap labour.Tena states Ndo hatari
Kukamatwa ni mpaka mtu akuchome so wengi vibali vikiisha wanabaki
Na ni wengi kweli kama unavyosema
Msalimie bibi debora
usimsahau mama chapati