DOKEZO Kuna wakimbizi wengi toka Malawi maeneo ya Mwananyamala

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mnhuu Kiswahili kipo waaaapi Malawi? Hii kamba bwasheee
 
Hata Sisi watanzania tumejaa hapa Lilongwe Malawi,watu wana maduka,migahawa,vibanda vya chips ,umachinga ,biashara za mazao nk. Hatuna vibali vya kufanya biashara zaidi ya entry permit ya kwenye passport.
Kwahiyo umeamua kujichoma au?
Ngoja tuja tufanye kazi,huwezi ukawa unafanya biashara nchi za watu bila kibali.
 
Sina shida na uwepo Wao kea Uwingi kwani hata Watanzania nao wako Wengi sana Afrika Kusini na 70% hawana Vibali.

Mimi shida yangu Kubwa kwa Wamalawi walioko hapa Tanzania ni kwanini hawana Mbunye ( K ) Tamu japo siyo wachoyo wa Kukuvulia Chupi zao?

Ushaonja kumbe Genta
 
Waacheni tu mimi mama yangu alikua ananisimulia alikua anaenda zambia kuuza nguo then anarudi.Wageni tu wanajitafuta
 
Safi sana acha wajenge nchi maana wanachapa kazi, huko kwao kutazidi kudorora maana nguvu kazi inatimkia bongo
 
Maana nipo na rafiki yangu wa kike mmalawi.
Kwa hiyo unatakaje, unataka rafiki yako arudishwe kwao? Kama wanafanya kazi zao bila bugudha kinachokuuma nini, au na wewe unafanya kazi za ndani unahifia ajira yako?
 
Hiyo labda ni definition yako
View attachment 2727739
Economy install kwenye natural disasters, angalia wahamiaji wanaotoka afrika ambao Kila siku tunasikia Mara boti imezama wengi wanaondoka sababu ya Hali mbaya ya kiuchumi.
Ila wanakosa status ya kutambuliwa na mashirika Kama unhcr kwa sababu hakuna nchi inayotaka kubeba mzigo was kuhudumia wananchi wengine kwa sababu za kiuchumi.
 
Tena states Ndo hatari

Kukamatwa ni mpaka mtu akuchome so wengi vibali vikiisha wanabaki
Na ni wengi kweli kama unavyosema
Tulipewa training na wa USA watu border patrol,walituambia wanajua USA illegal wapo wengi wamefanya vile ili kuboost nguvu kazi yaani kupata cheap labour.
Pia ukiwa illegal ukikaa sawa umejiimarisha unaruhusiwa kwenda ofisi zao unaenda kujisafisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…