National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Ndoa ni taasisi inayo jumuisha upendo na utii. Hata mafundisho ya ndoa haya elekezi mwanamke atoe taarifa bali anatakiwa kuomba ruhusa kwa mume, then mume kama kiongozi na kichwa cha familia ataona inafaa au haifai kupewa ruhusa.Wanaume wepi hamsemi semi? Nyie nyie au mnawaongelea wa sayari nyingine? Na inawezekana pia hana mchepuko na wanaheshimiana na mkewe vizuri tu na wala hana shida na kupewa taarifa. Taabu ni kwenu wapenda kuagwa sasaπ€£π€£ sijui mmekuwa maitiπππ
Issue ni ametoa taarifa, hajaondoka bila kutoa taarifa and thats what matters. Mtu mzima anatoa taarifa, watoto ndio wanaoaga.
Wanawake wa humu wangekuwa na akili, wisodm kama wewe ingekuwa safi.. kupitia huu uzi taka taka kibao zimeonekanaThis is inappropriate! Kama mtu kwake kunafukuta hahitaji kuhamasisha na kwa wenzio kuungue!
Young girls hawatakiwi kuambiwa haya, wanatakiwa wafundishwe kuwa na uhuru wa kipato, na pia wajifunze kuwa wake wema kwa waume zao, is that too much to ask?
Lazima tuelewe kuwa kwa kufuata utamaduni ambao si wakwetu, tunajikomoa wenyewe, tunakomoa our own future!
Binafsi nawaza sana, yawezekana kabisa wazazi waliolea watoto wao vyema wanapata shida sana kuwaoza watoto wao kwa vijana ambao hawajui upbringing yao, imagine uoe binti wa huyo mama ambaye kwa bahati ambaya asiwe an independent thinker!
Hapo anazungumza na mume wake ? Anachofanya hapo kuifundisha jamii, iwe hivyo ambayo sio fundisho sahihi la ndoa. Hata kama anaishi hivyo na mume wake haitakiwi maisha yake wayaishi jamii, jamii inapaswa fundishwa mafundisho sahihi tu, na sio upumbavu kama huoSaa nyingine mume wake kajionea sawa tu sababu ndo wameshajizowesha hivyo.
Nionavyo ieleweke kwamba kila ndoa ina style yake.
ebu ingie mahala agiza chochote nitumie LIPA NAMBAHuyu kama anaweza kumdharau mume wake wazi wazi hivi, atatutreaty vipi akina sisi? Charity begins at home! Ukishindwa kuyajenga nyumbani kwako huku mitaani hata ukijifanya mkarimu na mpole kiasi gani tunajua tu unatuigizia. Kuwa na pesa haikupi tiketi ya kumdharau na kumpanda kichwani mtu yeyote sembuse Mume?
Sisi wenyewe we are not perfect, ila hatujafikia level ya kuhamasisha jamii upumbavu. Huyo mwanamama aambiwe ukweli kuwa ametoa boko!
Agiza chochote shangazi, nipe lipa namba.. mmebaki wanawake wenye umama wachache sana, nyingi zimebaki taka takaSio mke ni hawara huyooo!!!!
Pepo ziko chini ya nyayo za waume zenuu
Ningekuwa mie ndio mume wake, asingerudi home huyo angelela huko huko, manina zake si ana hela.Hawezi kuwa na mume huyo, ukiniambia ana kisharobaro anakifuga nitakuelewa ila sio mume. Mwanamke mwenye mume hawezi fungua mdomo akaongea kauli kama hiyo.
π€£ Anavimba sana yani hahaha aishilie huko huko maniner.Ningekuwa mie ndio mume wake, asingerudi home huyo angelela huko huko, manina zake si ana hela.
Kamdhalilisha mume wake.. hiyo kama katoa siri ya kambiπ€£ Anavimba sana yani hahaha aishilie huko huko maniner.
Kuna makalai hayaoni tatizo hapo. Inasikitisha sana, kwanza ni aibu kwa mume wake na familia kutokana na hizo kauli.ni mpumbavu tu huyo mwanamke. kwanza mwanamke mwenye mume hawezi kuzungumza maneno kama hayo mbele za watu.
pili hata ukimsikiliza upangilianji wa maneno na sentensi ni wazi kichwani yuko empty mtupu kabisa
Kamdhalilisha mume wake.. hiyo kama katoa siri ya kambi
Dashi yanini mpumbavu tu huyo mwanamke. kwanza mwanamke mwenye mume hawezi kuzungumza maneno kama hayo mbele za watu.
pili hata ukimsikiliza upangilianji wa maneno na sentensi ni wazi kichwani yuko empty mtupu kabisa
Huyo mama mavi matupu.Ndio tatizo la hawa wadudu kushika hela ndefu
Kana uhakika wa mafuta ya gari, vocha na saluni so kanawavimbia hadi wajuba.Huyo mama mavi matupu.
Wanapiga hela kupitia huo mradi wao wa Superwoman. Nafikiri kuna mkoba wa hela kutoka states unaofadhili hizo Campaign.Huyo mdangaji tu hapo ni magonjwa utaletewa nyumbani means hata kifungua kinywa hajamwandalia sio kwa kumdhalulisha mumewe alivyopoteza mamlaka kwake
Hivi nyie wanawake wapumbavu nani alikuambia ukiwa na pesa mumeo hawezi kukuambia kitu?
Clouds watoe ufafanuzi kuwa huu ndio mrengo wa initiative yao.
ova
Pole sana mtoto mzuri GabrielleMimi ni mjane.Mimi ni single parent.
Hahahahah nimecheka sana πππHapo utakuta gari yenyewe iliyojazwa mafuta ni passo π
anaongea mataka taka yake public, huyu angekuwa wangu ningempasua na ndio ungekuwa mwisho wa ndoa. Mpumbavu kabisaa huyo mama, anaongea hayo public ili iweje ? Hovyoo kabisaKana uhakika wa mafuta ya gari, vocha na saluni so kanawavimbia hadi wajuba.
Anamdhalilisha mumewe huku akitaka kuwaonesha kuwa kwao wameridhiana kuishi kwa style hio. πππ!anaongea mataka taka yake public, huyu angekuwa wangu ningempasua na ndio ungekuwa mwisho wa ndoa. Mpumbavu kabisaa huyo mama, anaongea hayo public ili iweje ? Hovyoo kabisa
Hasara tupu na mashabiki wake ni walio shindwa ndoa na wasio dumu kwenye mahusiano kutokana na tabia chafu ndio unaona wana muunga mkono hata humu.. haya majitu bomuAnamdhalilisha mumewe huku akitaka kuwaonesha kuwa kwao wameridhiana kuishi kwa style hio. πππ!
Ila kifupi ni mashudu matupu.