Kwenye mihangaiko ya hapa na pale,niliwahi kukutana na mshikaji flani hivi ni mzaliwa wa tanga huyu jamaa alikuwa mzuri kupita kiasi yaani mzuri hasa ukitizama passpot yake unaweza sema mwanamke lips za kike macho ya kike.
Note:sijamsifia wala sitamani wanaume wenzangu ila najaribu kueleza muonekano wake ili nieleweke
Huyu jamaa alitokea kuwa rafk angu sana alikuwa ananikubali kupita kiasi most of the time alikuwa anapenda kunitumia sms "anaandika jina langu then mwishoni anamalizia na i adore you"mala kibao sana alikuwa anapenda kunitumia hiyo sms dah nilikuwa najiuliza ila nachukulia poa coz nimshikaji nasema haina noma.
Tulikuwa kwenye taasisi flani hivi,na maanisha tulikuwa wengi sana lile eneo ikafika kipindi washikaji wa pembeni wakaanza kuhoji urafk wetu,kwa pembeni mala inakuwaje hapa mbona hawa jamaa marafk sana na urafk wao siuelewagi,kiukweli nikuja sikia tetesi flani flani kwa pembeni na sikuzipenda niliona kama wanatuchora na wanamfikiria vibaya mshikaji wangu,
Huyu jamaa alikuwa ananijali vibaya mno,sometimes akienda deti lazima aje na zawadi kwajili yangu,lazima kila ucku aje aniage kwamba nd anaenda lala hivo,lazima kila asubuh aniulize how do you fel this morning,umeotaje,umeakaje,mchana mwingi alikuwa anaenda kuninunulia msosi,ikafika kipindi nikajishtukia ikanibidi nifanye kama namjali na mimi kiasi flani hivi japo niliona anavuka mipaka,
Hazikupita siku nyingi alichokuja kunifungukia dah,sikuamini masikio yangu,na urafiki ukafa ila mpaka leo huyu jamaa ananitafuta mala kibao japo me sina time nae,
Namaliza kwa kusema wanaume wazuri wanashida sana,tena shida kubwa mno hivyo si vyema kuwa karibu nao,wana mabalaa hawa.