Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Demiss=The miss = kamwanamke kembamba ptyuuuu silagi hutu tudude
Hakana chura kana mifupa tu ukimkumbatia unachomwa na mafupaaaa na mbavu mxeeew

[emoji377][emoji377][emoji377]karibu kwenye chama
 
Hakana chura kana mifupa tu ukimkumbatia unachomwa na mafupaaaa na mbavu mxeeew

[emoji377][emoji377][emoji377]karibu kwenye chama
Ako ka nini sasa unakapa tu raha ila ww huenjoy
 
Nahisi ukakasi asee! Mie huwa siwaelewi hii jinsia huwa inataka Nn?? Pesa, dushe kubwa, kibamia, uhandsome, sura ya kazi au kitu gani sijui huko!! Maana niliwahi kukutana na mademu kadhaa wakawa wanasema madume wanaowataka wao ni wale wenye sura ngumu Ila wallet zao ziwe laini kuliko pamba!
 
We ndio km Mimi mpk Leo cjui wadada wa humu wanataka nini
 
Aiseeeeeeh !

Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (Wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam.

Yan mwanaume amebarikiwa jaman
Ngozi nyeus ya kuvutia kama chocolate
Macho ya kimahaba
Kifua mashalaaaah
[emoji216]wa wastan na kuteleza
Tabasamu lake sasa uwiiiiii
Akiwa kitandan ndo hata usiulize
Anapendeza pamba balaaa

d5aa344880d41810f9db16b87598e517.jpg

Jaman na hii barid kwa kweli unaweza hata usihisi njaaa ukiwa na mwanaume kama huyuuu maana yeye ni shibe tosha.
Wanaume wazur wanafanana na chakula kizur ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.

Nyongeza:

Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesaa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.
[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]

Demiss(cha mdeko)
tapatalk_jpeg_1520011672838.jpg
 
Back
Top Bottom