Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ako ka nini sasa unakapa tu raha ila ww huenjoyHakana chura kana mifupa tu ukimkumbatia unachomwa na mafupaaaa na mbavu mxeeew
[emoji377][emoji377][emoji377]karibu kwenye chama
Dodoma kivuruge wangu[emoji6] [emoji6]Nitashukuru sana unanichagulia mkoa gan unanifaa mamy
Hahaha kwani yule anapigaeee[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]siachi kama milly brazaaa
Nan Kakuvuruga Tena MamiiDemiss akivurugwa huwez kumuelewa kirahisi
[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]siachi
We ndio km Mimi mpk Leo cjui wadada wa humu wanataka niniNahisi ukakasi asee! Mie huwa siwaelewi hii jinsia huwa inataka Nn?? Pesa, dushe kubwa, kibamia, uhandsome, sura ya kazi au kitu gani sijui huko!! Maana niliwahi kukutana na mademu kadhaa wakawa wanasema madume wanaowataka wao ni wale wenye sura ngumu Ila wallet zao ziwe laini kuliko pamba!
[emoji1] [emoji1] kwan zinaongeza mvuto mamahAcha kabisaaa
Kwenye sifa alizoweka Demiss kwangu inaongezeka dimpoz..
Yaaan dimpoz ugonjwa wangu kabisa
[emoji23] [emoji23] acha wivu mkuuHakuna kitu kinanikela kama mwanamke kumsifia mwanaume mwenzangu kama hivi .....mahandsome tupo tena zaid ya huyo
Aiseeeeeeh !
Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (Wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam.
Yan mwanaume amebarikiwa jaman
Ngozi nyeus ya kuvutia kama chocolate
Macho ya kimahaba
Kifua mashalaaaah
[emoji216]wa wastan na kuteleza
Tabasamu lake sasa uwiiiiii
Akiwa kitandan ndo hata usiulize
Anapendeza pamba balaaa
![]()
Jaman na hii barid kwa kweli unaweza hata usihisi njaaa ukiwa na mwanaume kama huyuuu maana yeye ni shibe tosha.
Wanaume wazur wanafanana na chakula kizur ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.
Nyongeza:
Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesaa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.
[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]
Demiss(cha mdeko)
Omari auAcha kabisaaa
Kwenye sifa alizoweka Demiss kwangu inaongezeka dimpoz..
Yaaan dimpoz ugonjwa wangu kabisa