Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Kimsingi tupia pendeza hata demu anaeza ingia kwa public transport sit nyingi zikawa empty lakin bado akaja kukaa na wewe kwanini usiombe namba kwenye situation kama hiyo, we pendeza tu,usibebe vitu vya kishamba iwe simu,saa,breslate,beg ,marashi, ingia garama kwenye vitu a man should look premium
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ’―
 
mimi siwezi omba namba ya mtu sijazoeana nae

nyie si mabaharia naelewa
Kishua inatakiwa upewe introduction kutoka kwa mtu anayewajua wote wawili.

Yani hutakiwi kumvamia mtu tu humjui.

Kwa mfano. Mwanamme una rafiki yako mwanamme kama wewe, ana girlfriend wake, yule girlfriend wa rafiki yako anakujua vizuri, anakujua uko single, na yeye ana rafiki yake anayemjua yuko single, halafu anaona kuna tabia fulani mnafanana mtafaa kuwa pamoja, basi huyo girlfriend wa rafiki yako anatoa mutual introduction mnajuana na huyo rafiki yake, halafu mnajiongeza wenyewe.

Yani hapo mna mtu ambaye anawajua wote katoa pande, huyo mtu si rahisi kutoa pande sehemu yenye lawama.

Ndiyo washua walivyofanya hivyo, yani kumvamia mtu barabarani ilikuwa kituko.

Siku hizi watoto wanepindua meza.
 
Uongo huna aibu[emoji23][emoji23][emoji23]mbna mi ulitoa namba yako halisi au niiweke hapa???
 
Pia kuna wanaume wana majibu mabaya sana tukiwanyima namba.
Mimi mwaka mpya tu hapa nimechambwa na mbaba ofisini sina hamu, nilikuwa mpoleeeee!
[emoji23][emoji23][emoji23] kwann nawee hukumchambaa? Kwan kutoa no ni lazima lol
 
Mimi hiz siku za iv karibun nimeomba pisi kal tofaut tofaut no yaan wananipa namba zao kirais mpaka wanajionea aibu in public ,ninachohakikisha nn nakuwa premium siyo kimuonekano tu hata ghetto vitu ni latest, simple but classic,napenda kuwakaribisha home most of them wakiingiaga wanakuwa humble Sana
 
Huyo jamaa ni kichaa au.
 
Mbona hujamalizia maana kuna humble halafu kuna humbolo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…