Kuna wanawake wamenenepeana vibaya sana hadi huruma

Ila usisahau na mazoezi kidogo , bia ukizingatia tizi wala haina shida , uache bia ili iweje sasa?
Mazoezi nafanya ,,
Sasa mi jamani mshkaji wangu hzi nyama anazielewa kinyama yaani!! huwa sipendi kuwa mwembamba nikamkosesha raha mshkaji.

Mwenzangu mimi bia siwezi kuacha hicho ni kiburudisho cha koo langu.
 
Stori zako zimeniaibisha barabarani.
Nimecheka kiwendawazimu bila kujizuia baada ya kusoma stori hii. 🀣🀣🀣🀣.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…