Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Ikija kutokea series kali zaidi ya Breaking Bad bhasi naomba ijengewe Sanamu kila nchi dunianii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jese fuckin pink man... yeaa beachiii.
usilinganishe breaking bad na got.... breaking bad ndo the best....
Hiyo picha niliyoiweka inawafaa... Washabiki wa BB wana tuakili tudogo🏃🏃🏃
 
Wakorea wanavyo fanana, halafu waweke na mambo ya parallel universe
Ni mtafutano, nilikuwa nikiangalia hii series napumzika kwanza.....kama vile napiga desa [emoji1787][emoji1787][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu umenifanya nicheke kwa nguvu. Ni kweli kabisa mimi baadae niliacha kutaka kuelewa kila kitu nikawa naangalia hivyohivyo nikielewa sawa nisipoelewa nasonga mbele
 
Mmmhhh mimi Anime siko interested nazo mkuu kama hiyo Alice in Borderlands ndio kabisaaa
Movie nikishaona ina comedy sitaki hata kuigusa. Niko much interested na crime, thriller or detective movie au series
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…