Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Da'Vinci angalia audience score, hiyo ndo imetolewa kwa mashabiki....
Breaking bad

Game of thrones


haya sasa bisha tena....
 
[emoji28][emoji28] japo PB ipo juu ya ya hzo movies mbili ila hzo ndo zinaweza kukaa kundi moja sio kwa GOT Mkuu. kuna vjana wanaweza kukwambia hakuna movie kama money heist au kama squid game nawaonaga akili ndgo.
GOT ina nafasi yake pale juu ila PB hayupo level moja na akina Money Heist na Squid Game
 
Siwezi kukaa na kushangilia Sci-Fi hata siku moja, bora niangalie chaneli za wanyama at least nitajua muayo wa mamba unakuaje kuliko kuangalia tu tu tyulilu tuko Mars mara tyu tyu tupo Saturn. Garbage ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Watu wanahama hadi galaxy, wakati kiuhalisia kwenda tu mwezini ni shughuli pevu ๐Ÿ˜†๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Siwezi kukaa na kushangilia Sci-Fi hata siku moja, bora niangalie chaneli za wanyama at least nitajua muayo wa mamba unakuaje kuliko kuangalia tu tu tyulilu tuko Mars mara tyu tyu tupo Saturn. Garbage ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Nikishaona Sci-Fi najua uongo huu hapa
Nilishajaribu Welcome to Eden na The Mist
Nkaona kamba hizi nkaachana nazo
 
Kheeee๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„na hiyo GOT ina ushoga
Sasa mbona mnaishabikia hivo
Na wale si wako misituni mambo ya ushoga walijulia wapi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kukimbizana tu kule msituni ndio palinitoa kwenye reli na mm nikaanza kuikimbia
Nitaitafuta niiangalie
Nsije nkaonekana mshamba๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
rikiboy
Wewe ni mshamba kweli, ila mshamba_Hachekwi. Jipoe moyo utazame hadi s3 huko ndio inaanza kushika moto
 
Acha kabisa mkuu ile movie producer alituliza kichwa mnoo, hakuna movie imeigizwa kama ile kuna unforgrtable events nyng mnoo, nilipenda dana ile developments ya characters kama Arya (my best character), Daenerys, Sansa, jofrey na wengne. nimeirudia kama mara mbili tu ila nna mpango niirudie tena maana naona kuna matukio mengi yalinipita mule.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mshamba mwenywe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Imetosha mkuu ngoja niitafute na mimi nije kuhadithia humu ndani.
 
Ile series walisema watairudisha kuonesha namna White walkers walitokeaa... Ila wale wambaaa nawakubalii maishaa yoteeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mamaee yani yule mwamba wao akifungua macho tu kumekuchaaaa... WALIVYOKUFAA WOTEE ILINIUMAA SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ