fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
- Thread starter
-
- #21
bro nchi nimetembea we acha tu,solar imesambaa ni balaa,kuna makampuni ya kuuza solar yamewapa kazi vijana waliomaliza vyuo vikuu,kuuza sola kwa mkataba na solar imesambazwa sana,nilipewa kazi ya mkataba kutembelea nchi nzima tena vijinini,nakuthibitishia solar imesambaa sanaMkuu kuna vijiji hamna umeme wala solar,kama unasema umetembe nchi nzima na wengi wana TV nadiriki kusema bado hujatembea umeishia tu kutembea mijini,mpenda soka kama hana tv lazima asikilize hata radio ili kujua matokeo na msimamo,mfano mdogo wewe hapo mjini umeme ukikatika,huna jenereta wala solar na mechi ya derby inachezwa je usingesikiliza radio?
Radio bado zinasikilizwa sana hata Benjamin Mkapa utakuta mechi inaendelea uku jukwaani mtu anasikiliza radio kwaajili ya kupata uchambuzi nk, kwangu nikiwa natazama mechi za kwenye TV uwa sikosi Radio kwa sababu ya ujinga wa TANESCO
ok hii ntafuatilia,asantebro nchi nimetembea we acha tu,solar imesambaa ni balaa,kuna makampuni ya kuuza solar yamewapa kazi vijana waliomaliza vyuo vikuu,kuuza sola kwa mkataba na solar imesambazwa sana,nilipewa kazi ya mkataba kutembelea nchi nzima tena vijinini,nakuthibitishia solar imesambaa sana
okHapa hapa dar kuna watu hua wanasikiliza mpira kwenye Radio, mara nyingi naona kwenye site za ujenzi au watu wanaorekebisha barabara..
Unakuta kazi ndo imechanganya halafu siku ya game ..
Mmnipo kinondoni anaejua 4ways karibu na leaders mpira nausikilizia kwenye tbc siku hz mrangazqji kama rada mbungenmtarajiwa simsikii dah binadamu tukipita kuanzia posta mpk dodoma akiulizwa atasema naijua dar moro mpk ddm lakin kiuhalisia wengi wetu tunafika makao makuu ya mkoa au wilaya hatufiki kwenye tencells za kila kijj tarafa kata jimbo wilaya mkoa so tanzania ni gigantic land huwez imaliza tunagusa mle mmtulimo elekezwa na kaź zetu hii inch bado tupo hoi na wala hakuna chama wala kiongoz atakae weka level za maisha kwa raia isipokua kila mtu ajipiganie kwa kadi ya uwezo wakeLakn nakua na issu mpira nasikilizia kwenye tbcSasa MTU upo site full time utaachaje kusikiliza mpira redioni....
Sasa kama mimi kijijini kwetu hakuna maji ya bomba mpaka leo hii.Ukiwa dasilamu unaonaga nchi imeendelea sana , wengine wanasahau vijijini kwao wana share maji ya kunywa na punda kwenye ki dimbwi🤔🤔
Tupo! Huku tunaendelea na bustani, kazi za hapa na pale...badala ya kuangaza macho masaa 2 bila kufanya lolote la maana...Tbctaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship,hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
sawaTupo! Huku tunaendelea na bustani, kazi za hapa na pale...badala ya kuangaza macho masaa 2 bila kufanya lolote la maana...
Watu wanatazama mpira huku wanasikiliza kwa redio , njoo huku Banda umiza utaona.Tbctaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship,hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
Masikini akipata tako hulia mbwata...so wewe kuangalia mpira kwenye runinga unajiona umefikaaaaaaTbctaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship,hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
tatizo sio wewe,ni makuzi uliokulia,hivyo nakuangalia tuMasikini akipata tako hulia mbwata...so wewe kuangalia mpira kwenye runinga unajiona umefikaaaaaa
oh hii sawa na kumbe huo ni utashi wao tu na sio kwamba hawana tv za kuangaliaWatu wanatazama mpira huku wanasikiliza kwa redio , njoo huku Banda umiza utaona.
Kwahiyo ukiwa safarini na gari yako upo njiani utaangalia TV?Tbctaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship,hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
sijui ni kwanini umewaza hivi ila kujaa kwa television na mabanda umiza haiezi kuwa sababu ya kujiuliza pia why watu wanasikiliza mpira kwa redio leo.Tbctaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship,hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
Hajui haya mambo. Anadhani kila mtu anasimamisha shughuri ili akaangalie mpiraHapa hapa dar kuna watu hua wanasikiliza mpira kwenye Radio, mara nyingi naona kwenye site za ujenzi au watu wanaorekebisha barabara..
Unakuta kazi ndo imechanganya halafu siku ya game ..
Redio inamatukio ya haraka zaidi kulikon tv, we wakati unatazama move ya mpira yeye kashashangilia tayar.oh hii sawa na kumbe huo ni utashi wao tu na sio kwamba hawana tv za kuangalia
Ukiingia taifa, KMC, AZAM complex etc, watu wanavaa headphones ili kuwajua wachezaji wanapotajwa majina na watangazaji wa rediooh hii sawa na kumbe huo ni utashi wao tu na sio kwamba hawana tv za kuangalia