loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
Mzee kuna wengine hatupati mda wa kucheki kwenye tv,wengi wanakuwa maeneo yao ya kazi so kufungulia redio na kusikiliza ni option yetuTbctaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship,hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
Anakwendaaa....lunyamilaaa...hatareee hatareee....gooooo..gooooo...namnagani hapa mpira una gonga mtambaa panya na kurudi ndani kila anadaka kwa utulivu mkubwa sana 😊😊☺️☺️Tbctaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship,hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
safiAnakwendaaa....lunyamilaaa...hatareee hatareee....gooooo..gooooo...namnagani hapa mpira una gonga mtambaa panya na kurudi ndani kila anadaka kwa utulivu mkubwa sana 😊😊☺️☺️
oh hii sikuwa naijua asante kwa kunielimishaMzee kuna wengine hatupati mda wa kucheki kwenye tv,wengi wanakuwa maeneo yao ya kazi so kufungulia redio na kusikiliza ni option yetu
Sio kosa lako shida ni kulelewa uswaziPambafff...unamsema mwenzio kuhusu mihogo? Wewe unachambia asali? Jinga kabisa
Tv inches 16 inatakiwa aiweke kitandani kama tablet😅Una uhakika tv zimesambaa kila kona?
Ww kuwa na tv ya inch 16 uliyobandika ukutani haina maana wote wana tv mana n gharama kuzidi radio huko vijijini
Kulikuaga na watangazaji wanauwezo wa kuvuta hisia za wasikilizaji na ukajiona upo uwanjani..safi
Aisee,hii mechi ilivita hisia za watanzania wengi mnoKulikuaga na watangazaji wanauwezo wa kuvuta hisia za wasikilizaji na ukajiona upo uwanjani..
Mfano Kuna brother angu huwa anaielezea mechi ya Stella abjan vs simba Kama alikua uwanjani..
Watangazaji wa zamani walikuaga talented sanaaaAisee,hii mechi ilivita hisia za watanzania wengi mno
Ni kweliWatangazaji wa zamani walikuaga talented sanaaa
Ukimaliza kuangalia unaiweka ndani ya kabati then asubuhi unaiweka mfukoni unaenda nayo kazini 😂Tv inches 16 inatakiwa aiweke kitandani kama tablet😅
Wewe umekulia wodi ya wazazi?Sio kosa lako shida ni kulelewa uswazi
Nchi 16 hizi hizi 🤣auUna uhakika tv zimesambaa kila kona?
Ww kuwa na tv ya inch 16 uliyobandika ukutani haina maana wote wana tv mana n gharama kuzidi radio huko vijijini
Bc hujatembeaKabisa mimi sijaona kabisa watu au mtu anasikiliza mpira kwa redio
Sio vijijini mkuu hata mijini watu wanasikiliza mpira kwa redio, sio wote wana muda wa kupoteza kideoni.Tatizo hujatembea Nchi nzima Hadi ndanindani huko vijijini.ukienda vijijino huko redio ndiyo sehemu pekee ya kupata habari.
Tatizo sio TV tatizo makampuni kama vile AZAM, DSTV, ZUKU, N.K unaweza kuwa nayo ila shda iko kwa makampuniTbctaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship,hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
oh sawaWako wengi sana nikiwemo mimi, nina kiredio changu cha elfu kumi huwa nasafiri nacho kusikiliza mpira