Kuna watu kwenye system wanatumia nguvu sana kumchafua Rais Samia, Mtafeli Samia ni chaguo la Mungu

Wanaomsakama Rais wetu tunao hao!
Walidhulumu sana na wengi wako sysytem
Nasikia sasa hawaelewani.
Mimi siasa za Africa zinachonishinda ni msisitizo wa kujadili watu kuliko sera na hoja.

Kuna msemo "Small minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas".

Granted, hata kwenye ideas kuna watu, na hivyo si rahisi kuacha kabisa kujadili watu.

Lakini naona Africa, Tanzania hususan, watu hawawezi kujadili ideas, wanaishia kujadili watu.

Ni hivi, Rais mpya ana mazuri, ana mabaya pia. Anaweza kusemwa kwa haki, au kwa chuki binafsi tu.

Sasa, ukijikita kutazama nani anamsema, bila kuangalia anamsema kwa hoja gani, unamkosoa mkosoaji kwa sababu yeye ni nani, si kwa sababu hoja yake haina nguvu.

Mkosoe mkosoaji kwa sababu hoja yake haina nguvu, si kwa sababu yeye ni team fulani.

Hata saa iliyosimama inakuwa sawa angalau mara moja kwa siku.

Huyo rais wanamsema kwa vitu vingine vya kijinga tu, kwa sababu waliyempenda kafa.

Lakini, mengine wanamsema sawa, kwa mfano, yeye alikuwa sehemu ya serikali iliyopita, alikuwa na maneno ya ajabu pia, alishawahi kusema wananchi wakiipigia kura au wasipoipigia kura CCM, CCM itashinda tu. Hii ni kauli ya mtu asiyeheshimu utawala wa sheria wala muonekano wake, ni kauli ya mtu mwenye uhakika wa kuiba kura.

Sasa mimi nikimsema kwamba huyu alikuwa sehemu ya tatizo utawala wa Magufuli utasema nakosea?
 
Na nilichogundua wamefungua account juzi tu waje kumchafua Rais wetu. Watashindwa kwa jina Yesu. Nimepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka,ng'e na adui muovu Nasambaritisha magenge na madhabahu zote za kishetani kwa jina la Yesu.
Tena wamekuja kwa wingi mno.

Ndio hawahawa kina kawe alumni na jingalao na hawa wehu wengine
 
Yule aliyekuwa hawezi hata kutamka sentensi mbili za kiingereza ndio rais?

Aliyemuhonga demu wake Jokate ukuu wa wilaya ndio rais?

Anayegombania demu na Mtela Mwampamba ndio rais?

Aendelee kuoza anapostahili.
🤔 🤔 🤔 🤔
 
Haswaaaaa. Mkombozi wetu.
 
MATAGA ghafla wamenywea kama mkate wa boflo au mchicha unaochemshwa. Huyu ndiye Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Pokea salamu yake "Ninawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano" tunajibu "Kazi Iendeleee". Susi tinaendelea na kazi nyie mnaleta story za Wafu. Acha wafu wazikane maana wanasema "Acha Wafu Wazike Wafu Wao". Hayo mapambiyo kamwimbieni wafu wenu kaburini. Narudia kazi inaendelea tena vizuri mno kwa viwango.
 
Kama uko majuu mkuu kaa huko huko.
Chini ya Mwendazake watu walikuwa wanatekwa ili waweke sahihi za kukubali kunyang'anywa fedha zao, ama sivyo unafunguliwa kesi za uhujumu uchumi.

This is NOT ABOUT IDEAS its realtime State Robbery.
Kama huelewi bado njoo kipande hii na biashara yako leo kabla mataga hawajawa complitely neutralised.

Mna msifia mtu aliyekuwa tyrant and a quai-dictator.
 
Well said kaka mkubwa.

Very well said kiranga.

Atakae na aelewe
 
Mtangulizi wake ameacha legacy chafu ambayo haijapata kutokea tangu tupate uhuru
 
Woyooo
 
Mh. Samia akijali maslahi ya watu badala ya vitu kama alivyofanya mwendazake basi atakuwa amejipambanua kama rais wa watu na siyo rais wa ndege, madaraja na mabarabara...na kama kuna kundi la wasaka tonge wamejipanga kumkwamisha kwa kumkejeli humu mitandaoni ili aonekane bogus tutakula nao sahani moja..
 
Mkuu naona akili zimeanza kukukaa sawa baada ya Jiwe kudondoka, kumbuka siku zote Mungu ni fundi asingekubali Tz itawaliwe na dikteta.
Sikuelewi mkuu,mwanzoni nilikuwaje na sasa nikoje?Mimi Niko kawaida,Niko CCM,kamwe sitahama,sasa unaposemema akili Yangu imeanza kukaa Sawa sikuelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…