Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #61
Mbona kitambaa cheupe na kisuma bar hatuwaoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unauhakika?,sehemu za ivyo mapepo yapo sanaaa tu au sehemu zenye mkusanyiko mkubwa wa watu.Usidhan wote unao waona ni binadamu wenzio,na usiombe ukawajua kama unaroho nyepes hutaka kwa rahaaa dunia ina mengi hasa usiku.
Wengine ni majiniJana nimejifunza mengi sana, nilikunywa bia zangu Manzese kichwa kilivyochanganya nikasema pesa kitu gani bhana kesho nitatafuta tu kwanza zipo za kutosha nikakimbia chap ATM nikawithdraw laki nne nikasepa zangu ELEMENTS NIGHT CLUB kupiga vyombo baridi na laini.
Ipo hivi nilishuhudia kuona watu wa tofauti sana hata kimuonekano, mwili mweupeeee halafu matatooo kama yote, hawa binti zetu kuna wengine wamechora tattoo za sex mgongo mzima mpaka kwenye mashavu ni tattoo za ngono, nilicheka sana ila nilichojifunza usiku ni mkubwa kuliko mchana.
Jamii ya hawa watu mchana huwaoni kokote kule iwe mitaani iwe nyumbani ila usiku ukienda kwenye maclub makubwa na macasino kama princess ya post utawakuta wanamimina Heineken mwanzo mwisho na muonekano wao unastaajabisha kidogo hata uvaaji nguo zao zinazonyesha mpaka dudu Kwa ndani linaning'inia na watoto wa kike wapo kifua wazi khabisa titi lote limepigwa tattoo za romance na mapini wametoboa kwenye pua, mdogo, ulimi, matiti, hata macho Yao nahisi Kuna kitu wanaweka maana muonekano wa macho Yao yanawaka kama paka gizani
Karibuni supu ya kongoro natoa hangover muda huu
Unaweza ukawa nao hapo na usiwajue,je una macho ya ziada au ni kipofu kiroho?Mbona kitambaa cheupe na kisuma bar hatuwaoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamn haya, majini gn hayo Kati yanaenda mpka counter kulipa bill kwann wasipotee tu bila kulipiaWengine ni majini
Nilichosema ni kuwa ukienda club kubwa za Masaki hawa watu utawakuta ila sio manzese na sinza, nahuwaoni mchana popote paleUnaweza ukawa nao hapo na usiwajue,je una macho ya ziada au ni kipofu kiroho?
Amnaa nakataa, hata siku moja tu nisiwaone kwenye ofisi zao kweli [emoji23][emoji23][emoji23]Hao watu huonani nao sabb mko kwenye mihangaiko tofauti
Unajua mkuu"Haziendani na mfumo" HOW?
mashaka kama yepi?
Never mind too many qns bro... Its called free education, you know hahaha nafwazzz
2008 nikiwa Iringa night club flan hivi Iko mitaa ya karibu na chuo cha Ruco niliwahi kutana na dem na mtoto mchanga ndani ya hiyo club na nikamnunulia pombe na Kuna vitu vingine sikumbuki ila nashukuru niliondoka salama. Dunia nzito hiiNitakuwa mtu wa mwisho kuamn haya, majini gn hayo Kati yanaenda mpka counter kulipa bill kwann wasipotee tu bila kulipia
Nitashukuru sanaNikipata mda nitakuandikia vizur kwa urefu
Heineken elfu kumi
Nahisi ipo hivo, pale wao wapo kazini ila Kwa mm mtoto WA town hawanigusi kwanza kwenda toilet mpaka nimalize balimi yangu tena napigaga tarumbeta
Ndoivo mkuu acha wafanye starehe japo hatujui kesho yetuUkiona mambo yanayoonekana kwa nje, matendo yao au muonekano wao.
Basi ujue kuwa hivyo ndivyo vilivyojaa moyoni mwao.
Kwa maana mtu hutoa nje vile vilivyomjaa ndani.
Pia niliambiwa majini na mapepo ayapendi bangi... Mbona bangi na ndugu yake shisha ipo sana muleNitakuwa mtu wa mwisho kuamn haya, majini gn hayo Kati yanaenda mpka counter kulipa bill kwann wasipotee tu bila kulipia
Lete ushuhuda Sasa mbona unaandika kama unakimbizwa2008 nikiwa Iringa night club flan hivi Iko mitaa ya karibu na chuo cha Ruco niliwahi kutana na dem na mtoto mchanga ndani ya hiyo club na nikamnunulia pombe na Kuna vitu vingine sikumbuki ila nashukuru niliondoka salama. Dunia nzito hii
Ni binadamu mkuu sema ndio maisha waliyoyachaguaItakuwa sio binadamu wa kawaida ...
Sindoapo, wale ni watu tuuPia niliambiwa majini na mapepo ayapendi bangi... Mbona bangi na ndugu yake shisha ipo sana mule
Unatembelea ofisi zipi hao jamaa wengi wamejiajiriAmnaa nakataa, hata siku moja tu nisiwaone kwenye ofisi zao kweli [emoji23][emoji23][emoji23]