Kuna watu utawaona night club ila mchana hawaonekani popote pale

Ni binadamu mkuu sema ndio maisha waliyoyachagua
Hata mm nimesema, pesa inaamua mengi sana kiongozi maana laiti hawa watu wangekuwa wanavipato kama vya mwalimu hawawez kutengeneza miili kama Ile kwanza wanatumia gharama kubwa sana kumaintain appearance kwanzia ngozi mpaka mavazi, chakula na starehe maana hawa watu sidhani kama wanajua ugali dagaa, wao ni lambchops na bites za maana, bugger, pizza na matokolingo yote ya kizungu
 
Nakuelewa vya kutosha mr. President!

Unasema nini kuhusu mtu anaona pisi na kufanya kila maneuvre ili aikule bila ivyo apati utulivu

Like for example nimeenda club wanapojiuza nimekula ila sirudiiagi kukula tena, naenda kwa anayefuata ila wachache sana ndio sikinaigi naweza kuwanunua tena na tena bila kuchoka. (Case ya harmo na kajala🤭)

Kuna wale wanajitokeza wapya unakuwa short funded unawalia target next time... Next time usiwakute unawatarget again next time na kuwa unawawaza sana you put on a hunt/target on them mpaka unawakula hiyo imekaaje...
 
Hao ugali kwao ni ndoto mkuu
 
Acha ukichaa wewe tafuta hela, masikini mnadanganyagwa sana
Ni ngumu kwa tajiri kuurithi ufalme, kama ilivyo ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
Kwakuwa mawazo yao na macho yao yamezibwa na tamaa ya pesa wanazozitafuta.
Na wanadhani wakizipata watapata furaha na amani. Lakini kumbe wanakimbiza upepo.
Mwenye sikio na asikie.
 
Mda huu ungekua kanisani ningekuona wamaana sana
 
Mkuu Kwa huu mshahara wetu wa walimu stoboi hapo kila kheri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Walimu nendeni kwenye viduka vya mangi huwa wanaoza bia ila bora ununue konyagi ulewe haraka usitumie gharama kubwa mwalimu
 
Siku ingine nishtue na mie nikaone mkuu
 
Pesa ni nzuri mkuu ,pesa inafanya both ends meets ,na pia inakuwezesha kutatua changamoto za hapa na pale za maisha yetu haswa ya basic needs .lakini ni kwamba Kuna muda pesa ukishakuwa nayo still Kuna kitu bado kina mes. Laiti pesa ingekuwa inatupa furaha ya kudumu, laiti pesa ingewaamsha wapendwa wetu waliotangulia mbele ya haki. Laiti pesa ingekuwa na uwezo wa kununua unconditional love. Laiti pesa ingekuwa na uwezo wa kumhonga Mungu [emoji28] tujiongezee kuishi ... anyway tuzitafute kwa bidii ila zisitufanye tusahau kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…