Enzi za magu sijasikia hizi kelele zaidi ya lisu bungeni na alivyonyamzishwa ikawa kimyaa hao TEC ndio kabisaaHuu muungano wa kijinga werevu tulianza kuukataa kitambo tu hata kabla ya Bi Hadija Koppa hajaokota dodo chini ya mwarobaini. Harakati zilishakuwepo tangu enzi hizo! Halafu kuna wapumbavu wachache wanaona ni sahihi kuuhusisha na dini!!
Tumeshagundua propaganda za TEC kujificha kwenye kivuli cha utanganyika kusogeza ajenda yaoKwa hiyo unataka islamized tanzania kwa kuwa kuna waislam wengi mikoa ya tanzania bara. Umechemsha, mfumo unaotawala dunia nzima ni wa kikristo, penda usipende kale ubwabwa msikitini sheikh
Mtu hana Bank kuu, Jeshi, Mahakama kuu, bodi ya mapato wala hatambuliki umoja wa mataifa anakunyonyaje hebu elezeaZanzibar kiukweli wanatunyonya, ingawa si kidini tunategwa kwa utanganyika wetu tu, hilo twalijua hata sisi Islam wa bara!
Samuya anataka atumie kete ya mwisho kutugawa ambayo anadai ni wakristo ndiyo hawamtaki. HAKUNA! ASHINDWE! Hata sisi Islam wenzake hatumtaki. Maandamano ni ya kudumu hadi hatoke.
Kipindi chote hicho waliokuwa wakipiga kelele ni wazanzibari kutaka mamlaka kamili na mwishowe waliitwa magaidi na ajenda ikafa na sasa pia tuwakatae hawa magaidi wanaojificha kwenye kichaka cha utanganyikaNdugu yangu umeandika ujinga mkubwa sana. Inaonekana kichwani mwako kumejaa fikra za udini.
Tangu enzi za uongozi wa Mwinyi, watu wanaiaka Setijali ta Tanganyika. Mpaka ikafika Bunge kupitisha azimio kwa kauli moja kuwa Serikali ya Tanganyika irudishwe. Serikali ikaridhia. Mwalimu Nyerere kwa kutumia kofia ya chama ndiye aliingilia kati na kufanikiwa kubatilisha uamuzi wa Bunge, na kumlaumu Mwinyi kwa nini Serikali imeridhia.
Wakati wa Kikwete, kupitia Tume ya Warioba, watanganyika na wazanzibari, wote walitaka iundwe Serikali ya Tanganyika.
Sasa kama una akili timamu, jiulize kama hao wote waliotaka Serikali ya Tanganyika kama walikuwa wakristo. Na hao wazanzibari waliotaka kuwepo serikali ya Tanganyika, ina maana ni wakristo?
Kwa kweli ukiona mtu anaelekeza mambo kwenye udini, huyo ni mpum.bavu. Watanzania hatuna mambo ya udini, tumeoleana, tuna mahusiano ya karibu, na undugu bila ya kujali dini. Mnaleta hoja za kijinga kuongelea mambo ya udini.
Mwalimu alisema kuwa waliofilisika akili na kisiasa, huwa wanapenda kunificha kwenye udini na ukabila. Wengine tuna akili timamu, huo udini utawaokota wajinga wenzako, siyo wenye akili.
Tumekusikia mwaipopo ila Waislamu hamtuyumbishi. ALLAH AWALAANI NA HUSDA ZENUKuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika
Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani
Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara
Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
Bado na kanzu pia maana ukiristo umezoea kuweka watu uchi hata kanisani wanaenda chupi zinaonekana na ndio wanachopambania sasa kwa kujificha kwenye utanganyikaJe walio leta hijabu kwenye shule za serikali ni mfumo gani ? Kama kweli kuna watu wanapigania mfumo kristo basi hao watu wsna akili waungeni mkono hata kama nyinyi ni waislam....
Mfumo kristo ni bora kuliko migumo ya kiislamu
Mimi sijaleta udini ila naondoa ajenda za udini hizi mbio za utanganyika zinazopiganwa zina mlengo wa kidini tumezikataaHalafu ondoa ushenzi wako wa udini mpuuzi mkubwa wee! Nchi hii wakristo na waislam wanaishi pamoja na kushirikiana bila ubaguzi wa dini hakuna shida. Umerefusha madevu yako unashadidia uislam kana kwamba ni dini ya maana kumbe ni utumwa tu kifikra, shenzi kabisa. Nchi hii tulishaachaga kuulizana dini ni ujuha. We baki na uislam wako mpaka kiyama hakuna wa kukubughudhi unapoabudu miungu yako huko msikitini. Tena shindilia tende unywe maji ya zamzam mpaka uvimbiwe hakuna wa kukukera kwenye ujuha wa kidini
Ajenda yenu ya kupambania utanganyika tushaijua tumewakataaWe ni mzanzibar? Maana mnajiona ni waislam watupu huko zanzibar kiasi cha kutaka bara nayo iwe na waislam wengi kama huko na muisilimishe tanzania nzima iwe jamhuri ya kiislam. Pumbavu kabisa, huo uislam wenyewe huko zanzibar ni athari za utawala wa waarabu wa oman ambao uislam ni mila, desturi na tamaduni zao. Msitake kuleta uislam conq bara. Bara haitakubali upuuzi huo na iliishakataa siasa hizo za kidini
Mtanganyika anaweza kuwa kiongozi Znz? Anaweza kumiliki ardhi Znz? Ila mzanzibar anaweza kupata vyote hivyo huku Tangayika. Muungano wa kihuni sasa basi.Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika
Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani
Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara
Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
Acha Ukafiri wewe Chogo wa baraKwa hiyo unataka islamized tanzania kwa kuwa kuna waislam wengi mikoa ya tanzania bara. Umechemsha, mfumo unaotawala dunia nzima ni wa kikristo, penda usipende kale ubwabwa msikitini sheikh
Maaskofu wanataka kila mtawala wa nchi hii awasujudie kaja Samia kawakazia wanajificha kwenye kichaka cha kupambania Tanganyika wakiamini ndio wataweza kuitawala na kusujudiwa tumewakataa na hatuandamani tunalinda amani ya nchi hii kwa wivu mkubwa sanaHuko zanzibar kuna mpuuzi mmoja wakati wa kampeni alinadi sera kwamba ataimarisha madrasa na misikiti. Utopolo kama huo uje useme bara utaambulia kura za kikobazi tu. Bara ushenzi huo hautakiwi. Bara ina misingi yake imara hakuna wa kuitikisa, ukijaribu hakuna rangi utaacha kuona
waliopigania huru kwenye hii nchi naomba uwataje wote , ndio utajua nani anaerejesha nyumaUislam ni mojawapo ya kero hapa Tanganyika, inaludisha maendeleo nyuma kwa kasi sana
Tanganyika kwanza.Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote