Angalia familia ya Hussein Mwinyi my role model.Hivyo hivyo pia wazanzibari na watanganyika wameoleana na kuzaana na ni ndugu wa damu kabisa unawezaje kushika bunduki na kumuua mzanzibari au mtanganyika wakati wote ni ndugu?
Ajenda yao imekufa kifo cha mende tumeikataaHawana nguvu naona vijana walianza kumshambulia Jenista Mhangama alivyokufa ,ghafla Wazee wa kukusanya sadaka wakaanza kumpamba mtu wao ili kuonekana alikuwa mwema na vijana wakakatazwa kushabikia kifo chake.
Kiukweli watashindwa vibaya sana ,kwa sababu hawakuwa mstari wa mbele kwenye kutafuta uhuru .Short and clear ,hawatakii kuongea chochote kwenye hii nchi.
Kurudi kwa Tanganyika kungewapa faida gani hao uamsho?!Kwani Zenji kuna dini gani au hujawahi kusikia uamsho na je waliishia wapi na harakati zao je waliungwa mkono na TEC?
Ajenda yao imekufa kifo cha mende tumeikataa
Undugu wa kijinga ukataliwe kwa nguvu zote.Usitujumuishe waislamu wote. Waislam tunaamini katika umoja. Hata tukiunganishwa na Kenya na Uganda poa tu, ila sio kutuenfanisha na Zanzibar. Zanzibar na Sisi ni dugu moya.
Kijana, Tanzania hakuwahi kuwepo Tume Huru, haya mambo yaliyotokea kwa Samia siyo mageni, CCM wizi wa kura na huu uongo uongo vilikuwa tangu zamani. Ilikua ni Time Bomb tu; hapa ndipo limepasuka, kwa sababu limekuta mtu bwege, wale wahuni wengine walikua wajanja na mbinu ya kukwepa, lakini ilipofika hapa ndiyo lime pasuka, na sasa inabidi tujenge ukuta.Kwahiyo katiba mpya na tume huru ilikuwepo kipindi cha mkapa na magufuli ila kwa Kikwete na Samia haikuwepo?
Mbona enzi za mkapa na magufuli hatukusikia habari za utanganyika?
Umeipata wapi hii kuwa Wazanzibat 100% ni Waislam?..familia nyingi huku Tanganyika zimechanganya ndugu ambao ni Waislamu, na Wakristo.
..ndugu zetu wa Zanzibar familia zao ni 100% Waislamu ktk familia na koo zao.
..Kuleta masuala na hoja za Wakristo dhidi ya Waislamu ni kuwagawa Watanganyika mpaka ngazi ya ukoo, na familia.
Kwanini sauti zitoke upande mmoja wewe hustuki?Kijana, Tanzania hakuwahi kuwepo Tume Huru, haya mambo yaliyotokea kwa Samia siyo mageni, CCM wizi wa kura na huu uongo uongo vilikuwa tangu zamani. Ilikua ni Time Bomb tu; hapa ndipo limepasuka, kwa sababu limekuta mtu bwege, wale wahuni wengine walikua wajanja na mbinu ya kukwepa, lakini ilipofika hapa ndiyo lime pasuka, na sasa inabidi tujenge ukuta.
Kijana, usiwe mtumwa wa IMANI, dini isifuanye kipofu na ukiziwi, matatizo yote haya yanatokea kwa sababu hakuna formula, yaani katiba, mengine yote hayo ni stori za kufikirika. Who cares if you are a muslim of a christian?
Wapi wamezungumzia haki za watanganyika tu.Hao TEC Wana hoja gani zaidi ya futuhi za uzanzibari na utanganyika?
TakatakaKuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika
Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani
Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara
Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
Hili ndilo tatizo kubwa la Wafuga Midevu na Majini daima wao wanajiona wananyanyasika tu na ni Wanyonge!!!Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika
Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani
Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara
Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
Kwanza lazima ujiulize wale walikuwa wanapigania Nini?Kama wanapigania na haki za wazanzibari mbona hawakuwasapoti masheikh wa uamsho kipindi kile
Kama ni 99% kwa nini usiseme almost 100%? 1% is negligibleUmeipata wapi hii kuwa Wazanzibat 100% ni Waislam?
Kwa maana hiyo unataka kutuambia kuwa hamna Wazanzibar Wakirsto?
Mleta mada yupo sahihi.
Binafsi sikuunga mkono uamsho na pia siungi mkono harakati za TEC kipindi hikiKwanza lazima ujiulize wale walikuwa wanapigania Nini?
Je, hicho kilikuwa cha kujenga ummoja na haki kwa wote pande zote bila kujali dini?
Pili jiulize matukio ya uhalifu mfano watu au nyumba za ibada kushambuliwa baada ya kuanza vuguvugu na harakati za hao masheikh wa Uamsho.
Unakumbuka wale mabinti wa kizungu waliomwagiwa tindikali?
Unakumbuka padri paroko mmoja mchaga Shao au Shayo aliyeshambuliwa kwa tindikali huko huko Zanzibar?
Unakumbuka kanisa lilioshambuliwa na kufanyiwa vandalism kule Zanzibar?
Unaungaje mkono mambo ya uhalifu kama huo?
Ninyi mliofunikwa na ubaguzi au udini mna kumbukumbu ndogo hasa juu ya uhalifu wenu.
Unakumbuka kushambuliwa kanisa na bomu kule Levolosi Arusha?